Naitika ila mpaka leo sijui kwa nini naamkiwa...Duhhh!! nawe unaitikia tu!?
Samahani naingilia Uzi, hiyo 5yrs ni above him au below his age???... Hapa ndio napendelea kujua maana mm naangumiaga kwa above my age? and single mothers of above my ageKama unapenda ngono unaweza, kama unawaza mapenzi unaweza pia, ila kama unataka maisha achana nae......,
Jitahidi gap iwe kubwa kidogo minimum 5 yrs difference
Namaanisha ....mwanaume ndio awe mkubwa kuliko mwanamke kwa tofauti ya miaka 5 minimumSamahani naingilia Uzi, hiyo 5yrs ni above him au below his age???... Hapa ndio napendelea kujua maana mm naangumiaga kwa above my age? and single mothers of above my age
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji7][emoji7][emoji13][emoji13]Tatizo nini?haipiti?
Ila yeye kakuzidi sio?Nimemzidi kaka yake wa kwanza
Mbona mimi nipo availabo! Achana na hao watoto, wanasumbua sana.wa age yenu kila mtu ameshachukuliwa.
Uzuri wake kule sipigani vikumbo na mtu wala haangalii saa awahi kurudi nyumbani.Mbona mimi nipo availabo! Achana na hao watoto, wanasumbua sana.
Kwamba unampa uhuru wake arudi mda atakao?Uzuri wake kule sipigani vikumbo na mtu wala haangalii saa awahi kurudi nyumbani.
No ni kuwa si mume wa mtu.Kwamba unampa uhuru wake arudi mda atakao?
Ok, sasa si mfanye mbebane moja kwa moja. Hawa vijana, asije kukufanyia mbaya, mkatafunana then akatafuta wa kuingiza ndani.No ni kuwa si mume wa mtu.
Mambo mazuri hayataki haraka mkuu, ngoja nimalize haka kashughuli ninakofanya sasa hivi na utaletewa kadi mwakani Mungu akipenda.Ok, sasa si mfanye mbebane moja kwa moja. Hawa vijana, asije kukufanyia mbaya, mkatafunana then akatafuta wa kuingiza ndani.