Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,709
- 23,144
Duu mambo ya kubishana ni nidhamu yenu tuNimemzidi umri pia lakini mambo poa ila kuna wakati nijisahau tukiwa tunabishana ninamwmbia 'hembu nyamaza' ananyamaza kweli baadae roho inaniuma.
Duu mambo ya kubishana ni nidhamu yenu tuNimemzidi umri pia lakini mambo poa ila kuna wakati nijisahau tukiwa tunabishana ninamwmbia 'hembu nyamaza' ananyamaza kweli baadae roho inaniuma.
Kupendana sawa kaHivi hiki kigezo cha wanaotaka kuuona wawe na gap kubwa mantiki yake hua siielewi kwan kukiwa na gap dogo LA miaka shida iko WAP???? Au Kama mkilingana kabsa miaka shida nn???....na ukizingatia mnapendana....
Endelea kulazimisha..................Case kama hizi zilizofanikiwa zipo ila ni chache..........Wengi wamefaulu kufeli...........Kumbe inasemekana hauna uhakika???.....alafu me navyojua mwanamke matunzo tuu Kama hatunzwi lazma awah kuzeeka....ila Kama anatunzwa vizuri sidhani....
mi najua ulishapenda tu hata ukishauliwa utaendelea kusimamia msimamo wakoKumbe inasemekana hauna uhakika???.....alafu me navyojua mwanamke matunzo tuu Kama hatunzwi lazma awah kuzeeka....ila Kama anatunzwa vizuri sidhani....
Duhhh!! nawe unaitikia tu!?Mimi nina 30 nimeoa wa 39...Huu mwaka wa 4 unaisha mpaka shikamoo napewa!
Kuna mawazo mengine ni hatari zaidi ya sumu ya nuclear, nani aliekwambia kwenye swala la kuoa umri ni kigezo ambacho kitazuia maisha yasiendelee?Cha msingi tathmini mwanamke unaetaka kumuoa je? mwenendo na tabia zake, juhudi na maarifa, hofu ya Mungu na ana mapenzi ya kweli...ukijiridhisha oa mara moja kabla wajanja hawajakuchukulia...Ndoa inakuwa chungu pale unapofanya makosa kwenye hatua ya kuchagua,.........Kama unapenda ngono unaweza, kama unawaza mapenzi unaweza pia, ila kama unataka maisha achana nae......,
Jitahidi gap iwe kubwa kidogo minimum 5 yrs difference
Yes depending on countrie's economyOnly in Tanzania