Nina miaka 28 ninaweza kumuoa mwanamke mwenye miaka 27?

Nina miaka 28 ninaweza kumuoa mwanamke mwenye miaka 27?

Mimi mademu tu wanaonizidi nimeshaona changamoto, kuoa ndo sitothubutu kabisa, at least nimzidi 3yrs na isizidi 5yrs...
 
  • Thanks
Reactions: e2n
Kuna mawazo mengine ni hatari zaidi ya sumu ya nuclear, nani aliekwambia kwenye swala la kuoa umri ni kigezo ambacho kitazuia maisha yasiendelee?Cha msingi tathmini mwanamke unaetaka kumuoa je? mwenendo na tabia zake, juhudi na maarifa, hofu ya Mungu na ana mapenzi ya kweli...ukijiridhisha oa mara moja kabla wajanja hawajakuchukulia...Ndoa inakuwa chungu pale unapofanya makosa kwenye hatua ya kuchagua,.........
Unaijua sumu ya nuclear? E = mc 2.....ukiona hivyo jua umeguswa........Let me keep in this way...."IT'S NOT IMPORTANT BUT VERY CRUCIAL" .......Ni vizuri kuweka mambo wazi......kuliko kuchukua hatua ambayo itakufanya kuwa na tension kubwa muda wote.
 
  • Thanks
Reactions: e2n
Swala la msingi ni mapenzi yenu yakoje na yeye ana upeo gani wa maisha. Hyo gap sio issue kabisa
 
mi najua ulishapenda tu hata ukishauliwa utaendelea kusimamia msimamo wako
Hapana ni katika hatua za awali bado sijazama nipo tayar kupokea ushauri na kufanya maamuz yoyote mkuu
 
Inasemekana mwanamke anawai kuzeeka,tofauti na mwanaume kiasi kwamba ukioa unaelingana nae yeye atawahi kufikia ukomo wa kutokufanya mapenzi wakt ww ukiwa na nguvu zako zote...ishu itakuja kila ukitaka akuridhishe inashindikana na kuweza kukufanya ww kuchepuka kutembea na vibinti

Je ukioa mdogo siku ukiishiwa nguvu za kumridhisha?
 
Hivi hiki kigezo cha wanaotaka kuuona wawe na gap kubwa mantiki yake hua siielewi kwan kukiwa na gap dogo LA miaka shida iko WAP???? Au Kama mkilingana kabsa miaka shida nn???....na ukizingatia mnapendana....
Gap ikiwa kubwa kunauwezekano pia wa kuwapo gap katika kuondoka duniani,angalia familia nyingi baba anatangulia mama anabaki na watoto.
 
Huyo usioe kwa mujibu wa sheria ni kosa kuoa mnayezidiana mwaka mmoja utafungwa kijana
 
  • Thanks
Reactions: e2n
Hapana ni katika hatua za awali bado sijazama nipo tayar kupokea ushauri na kufanya maamuz yoyote mkuu
Duh kuna dada anajua kapendwa huko lakini kumbe behind jamaa amekuja jamii forum kuanzisha uzi wa kuomba ushauri whether aendelee kuwa nae au amuache kisa umri.. Ndugu maisha hayana formular japo ni vizuri kujifunza from experienced people.. Angalia usimuumize huyo dada for wahatever decision u gonna make, just make it early kabla hajazama zaidi ili usiumize hisia za huyo dada..
Hapana ni katika hatua za awali bado sijazama nipo tayar kupokea ushauri na kufanya maamuz yoyote mkuu[/QUOTE
 
Inasemekana mwanamke anawai kuzeeka,tofauti na mwanaume kiasi kwamba ukioa unaelingana nae yeye atawahi kufikia ukomo wa kutokufanya mapenzi wakt ww ukiwa na nguvu zako zote...ishu itakuja kila ukitaka akuridhishe inashindikana na kuweza kukufanya ww kuchepuka kutembea na vibinti
Kwan shida iko wapi ata ww mwenyewe unachepuka mwanaume aridhikagi anatosheka
Only in Tanzania
 
age is just numbers. kama mnapendana kwa dhati make her your wife ASAP.
 
  • Thanks
Reactions: e2n
Back
Top Bottom