Nina miaka 28 ninaweza kumuoa mwanamke mwenye miaka 27?

Nina miaka 28 ninaweza kumuoa mwanamke mwenye miaka 27?

Mimi sioni shida kabisa, kuzidiana miaka miwili awe mvulana au msichana i dont see the problem, hapa ni kujitunza tu mkifika miaka 38 kuzaa basi ili msichoshane, mnakuwa na kazi moja tuu ya kulea familia
 
Nilipokutana nae nilimuuliza anahisi nina umri gani akaniambia 28, mhh wewe mbona huko nilikuwa zamani sana nilijesemea moyoni. Lakini halikuwa linanipa Amani, siku nilipomwambia umri wangu alishtuka sana, akasema inamaana wewe ni mkubwa kuliko kaka yangu wa kwanza? Alijitafakari sana baadae alirudi. Ukweli umeniacha huru sasa hivi ninaweza kuweka passport yangu hata juu ya meza.
duuuuu hongera sana uli mzidi kwa tofauti ya miaka mingapi maana na mm hayo mazali yawaliyo nizidi umri yananitokeaga sana mara nyingi mnakua mmekomaa kiakili tofauti na hawa mabinti wadogo.
 
duuuuu hongera sana uli mzidi kwa tofauti ya miaka mingapi maana na mm hayo mazali yawaliyo nizidi umri yananitokeaga sana mara nyingi mnakua mmekomaa kiakili tofauti na hawa mabinti wadogo.
Haifiki mitano.
 
Back
Top Bottom