Safi kabisa. Uko vzr mpendwa!Nilipokutana nae nilimuuliza anahisi nina umri gani akaniambia 28, mhh wewe mbona huko nilikuwa zamani sana nilijesemea moyoni. Lakini halikuwa linanipa Amani, siku nilipomwambia umri wangu alishtuka sana, akasema inamaana wewe ni mkubwa kuliko kaka yangu wa kwanza? Alijitafakari sana baadae alirudi. Ukweli umeniacha huru sasa hivi ninaweza kuweka passport yangu hata juu ya meza.
Ww tu na roho yako, mengi ni mzee sana lkn kamuoa jackline bado mbichi kabisa itakuwa ww, 28-27=1 au ww sio mzima kwenye mambo fulaniMm nikijana ninamiaka 28 kunabinti wa miaka 27 nimempenda VP nikimuoa itakuwa sawa? Naombeni ushauri.
Mods naomba msifute nipate ushari Kijana mwenzenu asante.
Tatzo ni kuchepuka mkuu...kunaweza pelekea ndoa matatansasa hapo tatizo lipo wapi
Ninachokupendea wewe katika story/habari yoyote inayoletwa basi unatoa experience yako kutokana na hiyo kitu...saluteNilipokutana nae nilimuuliza anahisi nina umri gani akaniambia 28, mhh wewe mbona huko nilikuwa zamani sana nilijesemea moyoni. Lakini halikuwa linanipa Amani, siku nilipomwambia umri wangu alishtuka sana, akasema inamaana wewe ni mkubwa kuliko kaka yangu wa kwanza? Alijitafakari sana baadae alirudi. Ukweli umeniacha huru sasa hivi ninaweza kuweka passport yangu hata juu ya meza.
Mawazo ya vijana bwana, hebu ingieni field ili muweze yasimamia hayo mawazo yenu ili mtuletee mrejesho halisi sio huu wa kinadharia zaid.Kumbe inasemekana hauna uhakika???.....alafu me navyojua mwanamke matunzo tuu Kama hatunzwi lazma awah kuzeeka....ila Kama anatunzwa vizuri sidhani....
Hapo ndipo wanawake na wao pia hawapendi wanaume wadogo kwao.Nimemzidi umri pia lakini mambo poa ila kuna wakati nijisahau tukiwa tunabishana ninamwmbia 'hembu nyamaza' ananyamaza kweli baadae roho inaniuma.
SwadaktaInasemekana mwanamke anawai kuzeeka,tofauti na mwanaume kiasi kwamba ukioa unaelingana nae yeye atawahi kufikia ukomo wa kutokufanya mapenzi wakt ww ukiwa na nguvu zako zote...ishu itakuja kila ukitaka akuridhishe inashindikana na kuweza kukufanya ww kuchepuka kutembea na vibinti
Umenifanya nicheke mwenyewe eti ligi za pembeniAcheni ushamba. Hata kama kakuzidi kidogo.. ili mradi awe anakupa amani ya moyo na furaha hakuna shida. Cha msingi uangalie awe hajazidi umri wa kuzaa. Ukidili na ushauri wa wahuni utaoa chaguo lisilo lako ukikomaa na kigezo cha umri. Hata akizeeka utapiga ligi za pembeni
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Huyo usioe kwa mujibu wa sheria ni kosa kuoa mnayezidiana mwaka mmoja utafungwa kijana
Mama na mjukuuThat is mother and son in a relationship.
Mbona mm Nina 28 nimemuoa miaka 33Mimi ni kijana nina miaka 28 kunabinti wa miaka 27 nimempenda vipi nikimuoa itakuwa sawa? Naombeni ushauri.