Nina miaka 28 ninaweza kumuoa mwanamke mwenye miaka 27?

Nina miaka 28 ninaweza kumuoa mwanamke mwenye miaka 27?

Hivi hiki kigezo cha wanaotaka kuuona wawe na gap kubwa mantiki yake hua siielewi kwan kukiwa na gap dogo LA miaka shida iko WAP???? Au Kama mkilingana kabsa miaka shida nn???....na ukizingatia mnapendana....
Assumption ya mwanamke anazeeka kuliko wanaume, nadhani matunzo hafifu yaliwazeesha sasa watu wakatengeneza copying mechanisms kwa kuoa mwanamke kwa kuacha gap la miaka kadhaa kumbe kama wangekuwa wanaoana miaka sawa tungejikuta wanaume tunazeeka kuliko wanawake. All in all, gap likiwa dogo au watu wakiwa sawa haina shida tena uzeeni wata cope kuliko mmoja 60 alafu mwingine 50
 
Now dayz wanasema umri ni tarakimu!lkn kwangu Mimi siwezi kuoa mke ninayelingana umri au tofauti chini ya 5yrs
 
Sijui wenye phd zao wamemaliza kukomenti? We fuata moyo wako hapa ukifatilia kila mtu anamatatzo yake kweny ndoa yake..uoe mdogo, mkubwa n.k matatzo yyapo na jiandae kuyakabili
 
follow your heart by the way cha muhimu furaha tuu bac...age cjui nn izo mbembwe tuu ww fata moyo wako....!!!
 
Mm nikijana ninamiaka 28 kunabinti wa miaka 27 nimempenda VP nikimuoa itakuwa sawa? Naombeni ushauri.

Mods naomba msifute nipate ushari Kijana mwenzenu asante.
Nusu ya miaka yako, jumlisha saba.
 
Inasemekana mwanamke anawai kuzeeka,tofauti na mwanaume kiasi kwamba ukioa unaelingana nae yeye atawahi kufikia ukomo wa kutokufanya mapenzi wakt ww ukiwa na nguvu zako zote...ishu itakuja kila ukitaka akuridhishe inashindikana na kuweza kukufanya ww kuchepuka kutembea na vibinti
Io ni vice versa mkuu,wazee wengi tunaowachapia wake zao ni sababu ya tofauti ya umri kuwa kubwa,mwanaume ndo unawahi sana kufika ukomo,pengine nguvu uwahi kuisha, ebhu jiulize wazee wetu wameish maisha ya sio na usasa lakini nguvu zimeisha mapema na wake zao si ndo tunawaridhisha ,vip kizaz chetu hiki,bora akuzid umri tu.
 
Mm nikijana ninamiaka 28 kunabinti wa miaka 27 nimempenda VP nikimuoa itakuwa sawa? Naombeni ushauri.

Mods naomba msifute nipate ushari Kijana mwenzenu asante.
Subiri kwanza ujitambue, akili yako ipanuke ndio uoe
 
  • Thanks
Reactions: e2n
Io ni vice versa mkuu,wazee wengi tunaowachapia wake zao ni sababu ya tofauti ya umri kuwa kubwa,mwanaume ndo unawahi sana kufika ukomo,pengine nguvu uwahi kuisha, ebhu jiulize wazee wetu wameish maisha ya sio na usasa lakini nguvu zimeisha mapema na wake zao si ndo tunawaridhisha ,vip kizaz chetu hiki,bora akuzid umri tu.
Ni kweli ila ni pale anapochagua mtu aliemzidi zaid ya miaka 8 ndo inakuaga shida
 
Inasemekana mwanamke anawai kuzeeka,tofauti na mwanaume kiasi kwamba ukioa unaelingana nae yeye atawahi kufikia ukomo wa kutokufanya mapenzi wakt ww ukiwa na nguvu zako zote...ishu itakuja kila ukitaka akuridhishe inashindikana na kuweza kukufanya ww kuchepuka kutembea na vibinti
sasa hapo tatizo lipo wapi
 
Nilipokutana nae nilimuuliza anahisi nina umri gani akaniambia 28, mhh wewe mbona huko nilikuwa zamani sana nilijesemea moyoni. Lakini halikuwa linanipa Amani, siku nilipomwambia umri wangu alishtuka sana, akasema inamaana wewe ni mkubwa kuliko kaka yangu wa kwanza? Alijitafakari sana baadae alirudi. Ukweli umeniacha huru sasa hivi ninaweza kuweka passport yangu hata juu ya meza.
Nipenda sana! Mungu awazidishie upendo na aman vitawale maishan mwenu!
 
Ukioa mwanamke mnaokaribiana miaka au amekuzidi umri ndoa inakuwa na amani na heshima lakini ukioa vibinti vidogo siku moja nguvu za kiume zikapungua kanaanza maringo na kukutangaza
 
Back
Top Bottom