prof.mutunga
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 341
- 60
Habar za mchana wakuu, ni wiki ya pili sasa mke akinilalamikia ati nina mfumo dume kisa nimekataa kumsaidia kazi za ndani ikwemo kufua na kupika naombeni member akiendelea kung'ang'ania nimpige chini? Mana anaiga mambo ya kizungu ati tusaidiane
kumbe kumsaidia mwenzio kazi ni mambo ya kizungu?
Na yenu waafrica ndo yapi hayo?
Habar za mchana wakuu, ni wiki ya pili sasa mke akinilalamikia ati nina mfumo dume kisa nimekataa kumsaidia kazi za ndani ikwemo kufua na kupika naombeni member akiendelea kung'ang'ania nimpige chini? Mana anaiga mambo ya kizungu ati tusaidiane
african culture is there to survive soma thngs fall apart ujue kazi za mwanamke
we niambie, mi niko form one unanioverdose......
bado nasoma hawa the bus driver!!!!
Habar za mchana wakuu, ni wiki ya pili sasa mke akinilalamikia ati nina mfumo dume kisa nimekataa kumsaidia kazi za ndani ikwemo kufua na kupika naombeni member akiendelea kung'ang'ania nimpige chini? Mana anaiga mambo ya kizungu ati tusaidiane
Habar za mchana wakuu, ni wiki ya pili sasa mke akinilalamikia ati nina mfumo dume kisa nimekataa kumsaidia kazi za ndani ikwemo kufua na kupika naombeni member akiendelea kung'ang'ania nimpige chini? Mana anaiga mambo ya kizungu ati tusaidiane
wewe acha ujinga msaidie mwenzio! Nikianza kukwambia yakwangu utashangaa...
kumbe tupo wengi? Pole mkuu mie ngoja nipambane
we niambie, mi niko form one unanioverdose......
Bado nasoma hawa the bus driver!!!!
Habar za mchana wakuu, ni wiki ya pili sasa mke akinilalamikia ati nina mfumo dume kisa nimekataa kumsaidia kazi za ndani ikwemo kufua na kupika naombeni member akiendelea kung'ang'ania nimpige chini? Mana anaiga mambo ya kizungu ati tusaidiane
wewe acha ujinga msaidie mwenzio! nikianza kukwambia yakwangu utashangaa...
Hapo kwenye RED.
Kwakua umeomba ushauri nami naona, akiendelea kung'ang'ania kubali kufanya.
kumbe tupo wengi? Pole mkuu mie ngoja nipambane
Remember you signature......Surrender it's only for sissies....lo!