Nina mfumo dume au yeye ana mfumo jike?

prof.mutunga

JF-Expert Member
Apr 10, 2013
341
60
Habar za mchana wakuu, ni wiki ya pili sasa mke akinilalamikia ati nina mfumo dume kisa nimekataa kumsaidia kazi za ndani ikwemo kufua na kupika naombeni member akiendelea kung'ang'ania nimpige chini? Mana anaiga mambo ya kizungu ati tusaidiane
 
kumbe kumsaidia mwenzio kazi ni mambo ya kizungu?
na yenu waafrica ndo yapi hayo?
 
Anaanza kutoa mifano ya wanaume wanaofanyaga hizo kazi,jamani inauma sana wife anapokuambia ati msaidie kupika,wakati siyo mgonjwa i need your advise kabla sijachukua hatua plz plz anakera sana!
 
Habar za mchana wakuu, ni wiki ya pili sasa mke akinilalamikia ati nina mfumo dume kisa nimekataa kumsaidia kazi za ndani ikwemo kufua na kupika naombeni member akiendelea kung'ang'ania nimpige chini? Mana anaiga mambo ya kizungu ati tusaidiane

maumivu ya kichwa huanza taratibu na baadae hujakuwa zaidi..
 
Haiitaji ushauri!
Kama kichwa cha familia amua mwenyewe!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
una mfumo dume ndio kwani ukimsaidia mwenza wako utakatika ubongo au utageuka kifanyio chako?...........labda anachoka jaribu kuzungumza nae kama anazidiwa ajiri msaidizi hiyo ndo solution lakini kutoa talaka mmmmmh ndo mfumo dume utadhihirika mara hamsini.
 
Habar za mchana wakuu, ni wiki ya pili sasa mke akinilalamikia ati nina mfumo dume kisa nimekataa kumsaidia kazi za ndani ikwemo kufua na kupika naombeni member akiendelea kung'ang'ania nimpige chini? Mana anaiga mambo ya kizungu ati tusaidiane

wewe acha ujinga msaidie mwenzio! nikianza kukwambia yakwangu utashangaa...
 
Habar za mchana wakuu, ni wiki ya pili sasa mke akinilalamikia ati nina mfumo dume kisa nimekataa kumsaidia kazi za ndani ikwemo kufua na kupika naombeni member akiendelea kung'ang'ania nimpige chini? Mana anaiga mambo ya kizungu ati tusaidiane

Hapo kwenye RED.
Kwakua umeomba ushauri nami naona, akiendelea kung'ang'ania kubali kufanya.
 
Habar za mchana wakuu, ni wiki ya pili sasa mke akinilalamikia ati nina mfumo dume kisa nimekataa kumsaidia kazi za ndani ikwemo kufua na kupika naombeni member akiendelea kung'ang'ania nimpige chini? Mana anaiga mambo ya kizungu ati tusaidiane

Huo kamwe sio mfumo dume mkuu_ila hiyo sio sababu ya kumpiga chini,..wewe komaa tu kumwambia hautaki.

Keep it up_hayo mambo ya kusaidia kazi za ndani(kuosha vyombo,kufua,kupika etc,..etc..)wacha wafanye waliosoma academy_sisi wa kata sio mambo yetu kabisaaaaaaa....labda aumwe...!
 
Remember you signature......Surrender it's only for sissies....lo!

Kuna haka kamsemo kasemacho "One who causes others misfortune also teaches them wisdom".

Hivi unaweza kuniambia kila kitu tutafanya kwa matakwa yetu na kamwe hatuwezi kuangalia matakwa ya wenzetu?

Japo wanasemaga mwanaume msimamo ila kwa hilo nalipinga 100%.
Kusaidiana kunahitajika katika majukumu ya nyumbani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom