Kama kweli alikua serious kupost hiki alichopost basi huyu jamaa hafai kuwa mbunge kwa maana ako na test ndogo sana ya mafanikio.Nimeshangaa Mbunge wa Arusha kuzindua daraja lenye mabanzi mawili
Yaani ameenda ni timu ya viongozi kutoka CCM kufanya mzaha na upumbavu kama huu
Hilo daraja kulitengeza haizidi elfu 20 za Kitanzania
View attachment 3333920View attachment 3333921
Si yuko Dodoma?Nimeshangaa Mbunge wa Arusha kuzindua daraja lenye mabanzi mawili
Yaani ameenda ni timu ya viongozi kutoka CCM kufanya mzaha na upumbavu kama huu
Hilo daraja kulitengeza haizidi elfu 20 za Kitanzania
Nimeshangaa Mbunge wa Arusha kuzindua daraja lenye mabanzi mawili