Nina mashaka mtu anataka kuniteka nyara(kidnap)

Saa tisa mchana nilikuwa Gongs kwenye kituo cha basi nasubiri daladala niende Chanika, ikaja gari pale aina,kama gari za Noah,watu ndani wanataka kunipa lift.

Wakasemezena mle ndani,"Ati yule anaitwa nani vile"? Halafu wakaniita jina langu,wakasema njoo,twende. Nikakataa, considering it to be quite unnecessary.

Jambo la ajabu,ile gari ilikuwa ina picha kioo cha nyuma,imewekwa picha pale ya mdada mmoja, AMEPOTEA,ukimwona piga simu namba hii.

Yaani hao watu wanaotaka kunipa lifti, gari yao ina poster, bango, notisi, kuhusu mtu aliyepotea. Nasema I suspect someone is toying with the idea of kidnapping me. Just suspicion, not proof. There is nothing wrong in voicing suspicions about any thing.
Duh...!.
P
 
Back
Top Bottom