Nina mashaka mtu anataka kuniteka nyara(kidnap)

Nina mashaka mtu anataka kuniteka nyara(kidnap)

Saa tisa mchana nilikuwa Gongs kwenye kituo cha basi nasubiri daladala niende Chanika,ikaja gari pale aina,kama gari za Noah,watu ndani wanataka kunipa lift.
Wakasemezena mle ndani,"Ati yule anaitwa nani vile"? Halafu wakaniita jina langu,wakasema njoo,twende. Nikakataa, considering it to be quite unnecessary.
Jambo la ajabu,ile gari ilikuwa ina picha kioo cha nyuma,imewekwa picha pale ya mdada mmoja, AMEPOTEA,ukimwona piga simu namba hii.

Yaani hao watu wanaotaka kunipa lifti,gari yao ina poster,bango,notisi,kuhusu mtu aliyepotea.
Nasema I suspect someone is toying with the idea of kidnapping me.Just suspicion,not proof. There is nothing wrong in voicing suspicions about any thing.
Umeripoti?
Kama wanamaanisha, wakishindwa kukudaka kilaini watatafuta pahali na muda muafaka watumie shuruti
 
Wanataka wakutoe maini, figo na moyo wkauze. Jumlisha Ngozi, mifupa nk.

unatembea na mabilioni kadhaa mwilini mwako
 
Kama unatembea na wake za watu Acha na badilisha makazi faster tena Hama kistar lipia chumba kwngne na anza maisha huko vtu vyako vifate baada ya miez 3 makazi mapya nunua godoro tu. Maisha yaendelee
 
Ulichukua hatua gan baada ya kuhofia usalama wako?
Namba za gari ulizinote?

Au ndo bongo nchi ngumu ukaeka bando ukaripotia JF
 
Ile gari nilisema picha ya mwanamke aliyepotea. Kwa hiyo ile gari haiwezi kupotea kama itahitajika.
 
Saa tisa mchana nilikuwa Gongs kwenye kituo cha basi nasubiri daladala niende Chanika, ikaja gari pale aina,kama gari za Noah,watu ndani wanataka kunipa lift.

Wakasemezena mle ndani,"Ati yule anaitwa nani vile"? Halafu wakaniita jina langu,wakasema njoo,twende. Nikakataa, considering it to be quite unnecessary.

Jambo la ajabu,ile gari ilikuwa ina picha kioo cha nyuma,imewekwa picha pale ya mdada mmoja, AMEPOTEA,ukimwona piga simu namba hii.

Yaani hao watu wanaotaka kunipa lifti, gari yao ina poster, bango, notisi, kuhusu mtu aliyepotea. Nasema I suspect someone is toying with the idea of kidnapping me. Just suspicion, not proof. There is nothing wrong in voicing suspicions about any thing.
Waswahili walisema "Kwa Mwoga huenda kicheko, kwa shujaa huenda kilio!"
 
Watu wananiuliza nimefanya kosa gani mpaka mtu atake kuniteka,kwa sababu,kwa kawaida,mtu aliyefanya makosa ndiye anafikwa na uovu. Tueleze makosa uliyofanya. There is no smoke without fire. Lazima tu utakuwa umefanya kosa fulani.
Monk training ni kama commando training. It is very thorough. Kufikiria kwamba mini naweza kufanya kosa,that is a joke.
Labda niinukuu ole posting tamgi niliyoiweka Facebook jana.
They had retinues of many hundreds of thousands of asuras —titans with extravagant habits, great and varied wealth, and a predilection to engage the gods in battle. Because of the bodhisattva’sblessing, they also joined this great assembly in order to witness, pay respect to, and attend this miraculous bodhisattvic event.
Anasema wapo mashetani ambao wanapen da kuinjoy life,ambao wana tabia ya kubishana malaika.
 
Kuna magari au Bajaj zinazotoa lift usiku au zinachaji nauli ndogo kwa kupandisha watu tofauti, huo usafiri ni hatari na waathirika wengi ni wadada au kinamama
 
Chai tu hii, mara sijui ndoto mara sijui picha...

We utake kutekwa na namba ya gari ushindwe isoma badala yake uishie kutazama picha na kusoma maandishi yaliyoambatana na picha
 
Mkubwa una machale sana ungevalishwa khanga kama yule billionaire wa Simba
 
Pole sana, wasi wasi wako tu ulikua unataka kupewa lifti tu...
 
Je walikua wameweka mafuta nyuma ya skio?
 
Back
Top Bottom