Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

Status
Not open for further replies.
Acha kutuzingua wewe, hakuna hiyo mambo eti jinsia mbili zote zinafanya kazi, blaah blaah blaah.
inakua ni kadude tu kapo kwa juu karefu kama kisimi ndio kibamia chako afu chini inakua K, means anakua jike hospital wanaenda kukatoa maisha yanaendelea.
au vice versa
Unatuhadithya io clp?
 
Unauza chai tuuu hapa, miaka ya 1994-1996 K'nyembe sec kulikuwa na mdada walimwita jike dume.Alikuwa mweupeee, yeye anakaa kaptula na jeans.Sijui yuko wapi yule.
 
Jaman una utani mkubwa loooh
Hivi mnawaza nn kuleta thread ya kebehi hivi? Siamin uyasemayo
Nisamehe tu nimejaribu kujadiliana na halmashauri ya kichwa changu imegoma kuamin[emoji85]
Mengne naganya funny, ntaganyaj sas mkuu
 
Wazazi wako wanajua hili jamboo...jaribu ku ku cosalt wazazi wako waone wanakupa ushauri gani...!!?
Pili nime soma comments zako na kuzifuatili hata uandishi wako ni wa ki dem that means una characteristics nyingi za kike kuliko kiume....
Mi nakushauri uolewe tu mkuu..
Helped
 
Ila tukiacha masihara kidogo hukuwahi kuonana na wataalamu wa kitabibu ukawaelezea tatizo lako? Na vipi wakati ukiwa mwanafunzi ulikuwa una interact vipi na wenzako? Wanafahamu una tatizo ulilonalo?
Yani nikisema nieleze skul maiasha duh, ntajaza server
 
Huyu jamaa anadanganya live live""kwanza mtu anapozaliwa kitu cha kwanza wanamkagua kama yupo kamili au ana kasoro yeyote???? Je mpaka kufikia umri huo umejigundua hilo tatizo lako ukubwani au tangu utotoni???????? Wewe utakua jamii ya akina kaoge lasivyo tumia eksozi kutoa moshiii[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Huyu jamaa anadanganya live live""kwanza mtu anapozaliwa kitu cha kwanza wanamkagua kama yupo kamili au ana kasoro yeyote???? Je mpaka kufikia umri huo umejigundua hilo tatizo lako ukubwani au tangu utotoni???????? Wewe utakua jamii ya akina kaoge lasivyo tumia eksozi kutoa moshiii[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mambo ya jamii nanjamii hayafanani mk
 
Mambo ya jamii nanjamii hayafanani mk
Wewe unadanganya mkuu"""hiyo kitu mimi nshaiona kwa mtoto aliyezaliwa na kilichofanyika ni operation kutoa kimoja kibaki kimoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[HASHTAG]#Wewe[/HASHTAG] olewa tu umtumikie mmeo"""
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom