Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

Status
Not open for further replies.
Kuwa najinsi mbili so we we peke yako, wapo na wengine Kama we we, jaribu kuwatafuta ili mbadilishane uzoefu uenda tatizo lako likaisha. Kwenye maandiko upande wa dini ya kiislam mnaitwa utha, binadamu mwenye jinsia mbili.
Mi pm namba zao tafdhl
 
Huwezi kusababisha mimba kamwe. Fanya jaribio dogo tu. Chukua hizo mbegu ziweke kwenye glass ya maji uone kama zinaelea au zinazama.
Una uwezo wa kuzaa 90% kwa kuwa unabridi kila mwezi. Mwanaume siyo tatizo na jua kuolewa wapo walio normal hawajaolewa na wapo wasio normal wameolewa wamezaa wana amani.
Helped siongezi
 
Pole sana,yapo meng ya kukushaur kabla hujàenda Hosp....ila njoo JF doctor jukwaa..,..uombe ushaur ,utapata ABC,nzur za kuanzia......
 
Huwezi kusababisha mimba kamwe. Fanya jaribio dogo tu. Chukua hizo mbegu ziweke kwenye glass ya maji uone kama zinaelea au zinazama.
Una uwezo wa kuzaa 90% kwa kuwa unabridi kila mwezi. Mwanaume siyo tatizo na jua kuolewa wapo walio normal hawajaolewa na wapo wasio normal wameolewa wamezaa wana amani.
Huko kuzama na kuelea ndo kunaashiria nini mkuu?!
 
*Hivi ni nani alileta Make Up?*

*Maana ndiyo aliyeleta mabint matapeli huku nchini. Unakuta Msichana kapost picha anafanana na RIHANNA ila ukikutana naye live anafanana na DROGBA
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
 
Na siku zako unaziona aiseee? Af unataka ushauri gani hapo? We olewa tu ukishaona siku zako inamaana unabeba mimba wewe! Olewa bro

Eti olewa tuu bro... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro hawezi olewa sama “dada” bwana
 
Hamjambo wana JF,

Mimi ni mgeni kidogo hapa na nina jambo la mda mrefu linanisumbua.

Hadi sasa hivi sielewi niamue nini. Kibayolojia nina jinsia mbili.Ila phenotype (kimtazamo) ni kama mwanaume kidogo.

Napenda kuwa mwanaume ila sauti yangu nyororo. Nina dinda pia naona siku zangu. Nina dunja (maziwa) kidogo. Siku naona kama kawaida.

Naogopa sana kujulikana.

Naomba msaada wapenzi.
Binafsi yangu nadhani uzito wa maamuzi unayo wewe whether be a man or woman...
Kuna kiumbe wa Mungu hapo juu amekushauri uwende kuonana na matabibu...ushauri mzuri.
Ondoa shaka tumia kilicho active zaidi ya kingine.
Kutamani kuwa +- haitoshi hasa ukizingatia wapo wanawake pure wanatamani wangezaliwa wanaume na kinyume chake hivyo hivyo.
Sauti sio ishu
Appearance sio kesi ishu ni kiungo gani kipo active?
 
Hamjambo wana JF,

Mimi ni mgeni kidogo hapa na nina jambo la mda mrefu linanisumbua.

Hadi sasa hivi sielewi niamue nini. Kibayolojia nina jinsia mbili.Ila phenotype (kimtazamo) ni kama mwanaume kidogo.

Napenda kuwa mwanaume ila sauti yangu nyororo. Nina dinda pia naona siku zangu. Nina dunja (maziwa) kidogo. Siku naona kama kawaida.

Naogopa sana kujulikana.

Naomba msaada wapenzi.
Kwa hiyo Fe ilishawai kupigwa kwichi kwichi ? Kama teyali vipi ulipata kale kautamu cha kike ?
Je hiyo Me ilishawahi kumkwichi kwichi mwanamke na kumwaga Mbegu ?
Ninavyojua mm vyote haviwez fanya kazi kwa pamoja
 
Mpaka 22 yrs ,Tatar watu mtaani,au jamii inayokuzunguka inajua wew ni jinsi Fulani?au ?jina lako ni LA jinsi IPI?but cha kukushaur ni kuutafuta ushaur wa kitabibu,wao watajua nn kifanyike Mkuu,,
Naona shauri za kitabbu zime recommend(iwa) sana, ntazfuata japo toka awal natbua uwepo wa madaktar katk hil
 
Acha kutuzingua wewe, hakuna hiyo mambo eti jinsia mbili zote zinafanya kazi, blaah blaah blaah.
inakua ni kadude tu kapo kwa juu karefu kama kisimi ndio kibamia chako afu chini inakua K, means anakua jike hospital wanaenda kukatoa maisha yanaendelea.
au vice versa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom