Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

Status
Not open for further replies.
Hivi ukiwa na jinsia mbili na zote ziko active unaweza ukajitia mimba, yaani kama vile unapiga chaputa then unachukua shahawa unaziweka upande wa pili at the end of the day u become a mother and a father of your own kid.
We mkuu umenichekesha sana na hii comment yako
 
Mtoa mada usituone wajinga Wewe ni mwenyeji mzuri tu humu jf usituzengue

Kama unajinsia mbili na ulishawahi kugegeda basi jaribu na kugegedwa

Na kwanza mimi sijaamini kwamba una jinsia mbili na tundu la haja kubwa juu huo naona n uongo

Kwa ushauri mwepesi usioe wala usiolewe ila gegeda na ukichoka gevedwa
 
Mleta mada anaomba ushauri wa jinsia ipi aichague ili ajisikie huru na mwenye furaha
Kwa hali yake hawezi kuwa mwenye furaha nchi hii!Mungu angemsaidia akaishi Marekani ama Ulaya.Kwa tabia ya waafrika ni wabaguzi wa hali ya juu sana na huenda wengi wakamtukana na kumlaumu kwa nini yuko hivyo bila kujua ni ajali za kibiolojia.Ukizaliwa Tanzania na matatizo kama hayo na yanayofanana na hayo,ni kama adhabu nzito utakayobeba wewe na familia yako.Hata akizaa,watoto watadhihakiwa sana.Ila Mungu amtie nguvu tu maana ni mtihani mkubwa sana
 
Ningwkuwa ni mimi ningekuwa nina mke pia nina mume, dah..raha sana hiyo kitu. OA PIA UOLEWE!
 
Hamjambo wana jf,

Mimi ni mgeni kidogo hapa na nina jambo la mda mrefu linanisumbua.

Hadi sasa hivi sielewi niamue nini.

Kibayolojia nina jinsia mbili.


Ila phenotype (kimtazamo) ni kama mwanaume kidogo.
Napenda kuwa mwanaume ila sauti yangu nyororo.
Nina dinda pia naona siku zangu.

Nna dunja (maziwa)
Kidogo.

Siku naona kamakawaida.

Naogopa sana kujulikana,

Naomba msaada wapenzi.
Nenda hospital ya ikonda wilaya ya makete kuna huduma hiyo inatolewa. Wewe ni jinsi ya ke hiyo me si halisi kwako. Ila tabia mojawapo lazima unapokuwa ktk mapenzi unapofika kitonga wewe lazima na hilo liumbile la kiume litapike but not able to fertilize anything. Ni maumbile tu huna kasoro ya ajabu sana. Kama mwanaume akiishi kwa kukuvumilia hakuna tatizo.
Usianzishe mahusiano bila kumsoma mtu kisaikolojia kama atakuvumilia au laaa. Ni ya kawaida sana duniani. Uko mkoa gani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom