Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

Status
Not open for further replies.
mkuu tupia kapicha kadogo ili tuchangie vizur,anyway sikiliza moyo wako unataka nini
 
Hili ni li shoga linataka kujua nani anakula mashoga,hamna ukweli wowote katika li story lake la kutunga hata majibu yake tu yanam picture kua ni lijinaume linalowashwa na kutamani kusuguliwa.

Huwez nambia mpk kafika 22yrs eti ye anajua kugegeda tu...ina mana livyokua mtoto hajawahi jaribu kamchezo cha kubinuliwa ukitegemea ana K tena ina washa??

Hivi ushawahi kutana na mwanamke anaewashwa K yani hata muwe sapi lazima atake umsugue,sembuse huyu shigongo(mtunzi story) aseme hajawahi ata sku moja??

Huyu ni dume tena dume 100% mtu wa hali hiyo hata kuandika huku mtandaon asingeweza maana angejihisi kama watu watamjua..yani ni ngumu kujisema kama ingekua n kweli..hili ni li shoga linatafuta wa kumla vima.
 
Jinsia mbili tu unaleta makelele mwenzio ana jinsia tatu wala haombi ushauri wala nini!

Kuwa mtulivu bana.
Teh teh tehhhh
Hamjambo wana JF,

Mimi ni mgeni kidogo hapa na nina jambo la mda mrefu linanisumbua.

Hadi sasa hivi sielewi niamue nini. Kibayolojia nina jinsia mbili.Ila phenotype (kimtazamo) ni kama mwanaume kidogo.

Napenda kuwa mwanaume ila sauti yangu nyororo. Nina dinda pia naona siku zangu. Nina dunja (maziwa) kidogo. Siku naona kama kawaida.

Naogopa sana kujulikana.

Naomba msaada wapenzi.
 
Chagua kuoa mwanamke atakuvumilia na kukupenda sana ila mwanaume atakunyanyasa
 
Hamjambo wana JF,

Mimi ni mgeni kidogo hapa na nina jambo la mda mrefu linanisumbua.

Hadi sasa hivi sielewi niamue nini. Kibayolojia nina jinsia mbili.Ila phenotype (kimtazamo) ni kama mwanaume kidogo.

Napenda kuwa mwanaume ila sauti yangu nyororo. Nina dinda pia naona siku zangu. Nina dunja (maziwa) kidogo. Siku naona kama kawaida.

Naogopa sana kujulikana.

Naomba msaada wapenzi.

Kama unajinsia mbili kwa vyovyote mpaka sasa hivi kuna mwonekano ambao umeshazoeleka yaani watu wamekuzoea kuwa wewe ni mwanamke au mwanaume ni nashauri uendelee na jinsi ulivyo. pia kama hayo maumble hayakupi shida usiyatoe ili usije ukapata shida baadae. Ni ulize tu je umeshashiriki mambo ya mapenzi kwa jinsia gani kati ya hizo mbili?
 
Check vizuri vizazi kipi kina nguvu, unaweza kichagua dume kumbe mbegu hazina nguvu au hauna mbegu kabisa.. Pia unaweza kichagua Jike kumbe hauna kizazi check kwanza afya yako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom