The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,689
- 2,859
Ukiolewa itapendeza
We mama!! Uoe halafu ukutane na mkeo ana Mtwango hiyo ashki utapata wapi ?! Utamkimbia!!Ukiolewa itapendeza
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kwa usawa huu olewa tu ndugu
Huwezi kusababisha mimba kamwe. Fanya jaribio dogo tu. Chukua hizo mbegu ziweke kwenye glass ya maji uone kama zinaelea au zinazama.Mkuu, kumpata mwanaume ni kaz heri kupata mwanamke, mana nafanana kidogo na mwanaume
HONGERA KWA KUWA MUWAZI WATAKUJA NA UZURI UMESHAWAAMBIA KABLA HAKUTAKUWA JIPYAKuume
Ina maana una mboo ,na hauna K kwa hiyo ukiolewa utakuwa unatoa tigo au sio?Hamjambo wana JF,
Mimi ni mgeni kidogo hapa na nina jambo la mda mrefu linanisumbua.
Hadi sasa hivi sielewi niamue nini. Kibayolojia nina jinsia mbili.Ila phenotype (kimtazamo) ni kama mwanaume kidogo.
Napenda kuwa mwanaume ila sauti yangu nyororo. Nina dinda pia naona siku zangu. Nina dunja (maziwa) kidogo. Siku naona kama kawaida.
Naogopa sana kujulikana.
Naomba msaada wapenzi.
Mimi nimeshawahi kumuona mtu mzima kabisa mwenye jinsia mbili, na zote active, kwa maana ya kufanya na kufanywa, ishu ya reproduction sijui, hizi vitu zipo.huyu mtu muongooooooo.... Katika Mila za Kiafrica hata kama alizaliwa hospital ya kifahari na kukuzwa kwenye famili lazima hilo suala wangelishughulikia mapema huyu Mdau ni muongo.....
Kama ume-search leo na kuiona JF, neno "mkuu" umelijuaje maana hapa JF ni kiunganishi!!!Asante mkuu, ila pia nshawahi kugegeda mkuu ila, kwa kukificha,
Ila pia hii nyingne nayo ina genye mkuu
Sina ya zamani, hapa nimeona jf kwenye gugo nikaambiwa to comment sign in or register.