Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

Status
Not open for further replies.
Asante mkuu, ila pia nshawahi kugegeda mkuu ila, kwa kukificha,

Ila pia hii nyingne nayo ina genye mkuu
Kheeee[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] basi zote ziache zifanye kazi
 
Mpaka 22 yrs ,Tatar watu mtaani,au jamii inayokuzunguka inajua wew ni jinsi Fulani?au ?jina lako ni LA jinsi IPI?but cha kukushaur ni kuutafuta ushaur wa kitabibu,wao watajua nn kifanyike Mkuu,,
 
Nyoosha maelezo tu kwamba wewe ni punga upate wateja kuliko kufanya watu wazima waumize vichwa kwa kitu kisicho cha kweli.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom