Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

Status
Not open for further replies.
Kama una wowowo ni vizuri ukaolewa.

Mwanaume ili ukamilike pipe lazima ikamatwe na vyumbu Kama vyumbu huna basi we ni KE tu
 
Jinsia iliyo active kuliko ingine ndiko pa kuchagua, kama ya kike olewa kama ya kiume oa. Na kama ni ya kiume utakaeoa akiona umebeba jinsia yake itakuaje?
 
dah una raha, ukitaga kupiga puli huitaji mkono!
ila kwa life ya magu bora uolewe upate mteremko,
 
Hivi ukiwa na jinsia mbili na zote ziko active unaweza ukajitia mimba, yaani kama vile unapiga chaputa then unachukua shahawa unaziweka upande wa pili at the end of the day u become a mother and a father of your own kid.
hhqhahaajhahah[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hamjambo wana JF,

Mimi ni mgeni kidogo hapa na nina jambo la mda mrefu linanisumbua.

Hadi sasa hivi sielewi niamue nini. Kibayolojia nina jinsia mbili.Ila phenotype (kimtazamo) ni kama mwanaume kidogo.

Napenda kuwa mwanaume ila sauti yangu nyororo. Nina dinda pia naona siku zangu. Nina dunja (maziwa) kidogo. Siku naona kama kawaida.

Naogopa sana kujulikana.

Naomba msaada wapenzi.
Labda nikuulize swali. Je, jinsia ya kiume iko kamili { I mean mapUmBu & mB0o}?
 
Hamjambo wana JF,

Mimi ni mgeni kidogo hapa na nina jambo la mda mrefu linanisumbua.

Hadi sasa hivi sielewi niamue nini. Kibayolojia nina jinsia mbili.Ila phenotype (kimtazamo) ni kama mwanaume kidogo.

Napenda kuwa mwanaume ila sauti yangu nyororo. Nina dinda pia naona siku zangu. Nina dunja (maziwa) kidogo. Siku naona kama kawaida.

Naogopa sana kujulikana.

Naomba msaada wapenzi.
Una chura??
 
Naitafuta hiyo picha inaonekana nione sijui ndio shemale sasa mkuu wewe kama wewe unapenda jinsia ipi hapo mana zote zinafanya kazi
 
Hamjambo wana JF,

Mimi ni mgeni kidogo hapa na nina jambo la mda mrefu linanisumbua.

Hadi sasa hivi sielewi niamue nini. Kibayolojia nina jinsia mbili.Ila phenotype (kimtazamo) ni kama mwanaume kidogo.

Napenda kuwa mwanaume ila sauti yangu nyororo. Nina dinda pia naona siku zangu. Nina dunja (maziwa) kidogo. Siku naona kama kawaida.

Naogopa sana kujulikana.

Naomba msaada wapenzi.
Jinsia ya tatu uliyonayo ndio ina soko kubwa zaidi, ukiitumia hiyo itapendeza zaidi huwezi kukosa gari ya kutembelea hasa ukanda huu wa pwani.
 
Hamjambo wana JF,

Mimi ni mgeni kidogo hapa na nina jambo la mda mrefu linanisumbua.

Hadi sasa hivi sielewi niamue nini. Kibayolojia nina jinsia mbili.Ila phenotype (kimtazamo) ni kama mwanaume kidogo.

Napenda kuwa mwanaume ila sauti yangu nyororo. Nina dinda pia naona siku zangu. Nina dunja (maziwa) kidogo. Siku naona kama kawaida.

Naogopa sana kujulikana.

Naomba msaada wapenzi.
Kwa hiyo unagongwa na kugonga.... pole sana haya ni maswahibu mazito sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom