Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

Status
Not open for further replies.
Ndo maana unatatiwa kupata ushauri wa kitaalam ukiambatana na uchunguzi wa kina kujua kama waweza kuzalisha au kuzalishwa, baada ya uchunguzi watakushauri jinsi ipi ipunguzwe nguvu
Sawa mkuu asante aana
 
Hivi ukiwa na jinsia mbili na zote ziko active unaweza ukajitia mimba, yaani kama vile unapiga chaputa then unachukua shahawa unaziweka upande wa pili at the end of the day u become a mother and a father of your own kid.
Ikinyooka haiwezi kuingia side B mkuu
 
Hivi ukiwa na jinsia mbili na zote ziko active unaweza ukajitia mimba, yaani kama vile unapiga chaputa then unachukua shahawa unaziweka upande wa pili at the end of the day u become a mother and a father of your own kid.
Kwanza nshawah kugegeda kibish hii ya upand huu inakua dormant mda huo,

Kimaumbile sina mapumbu mkuu. Kwa chini ndo k ilipojitega.
 
Nguvu sio shida, hii K ikionekana?????

Duuuh, bleed itakuwaje kama nataka kuwa men??

Nataka nizalishe nijue kam mbegu zipo,

Wasijeua moja kumbe huku A hapana kaz,


Ukiangalia picha yang profile inasadif jins gan nadata nchague nn
Nenda hospital ukapewe ushauri pamoja na kufanyiwa uchunguzi!! alafu sio ufike hospital aunze kuona aibu jua madokta wanaujua mwili wako inside out so be open!

Vladmir Putin
 
unaona nini aibu kama sauti yako ni nyororo na una nyonyo! Hudhani kama wakipunguza tu hiyo ndude hawatakuharibu sana maumbile kuliko kuziba hiyo ya pili na kubaki na changamoto ya nyonyo? Usipenda kuoa alafu ukawa wewe ndo mke bora uolewe tu mkuu..please!
Apana naeza nisipate mume.

Hao mawifi nitawaangaliaje.??
 
Dah! Pole sana aisee huu ni mtihani mkubwa sana.

Hamjambo wana jf,

Mimi ni mgeni kidogo hapa na nina jambo la mda mrefu linanisumbua.

Hadi sasa hivi sielewi niamue nini.

Kibayolojia nina jinsia mbili.


Ila phenotype (kimtazamo) ni kama mwanaume kidogo.
Napenda kuwa mwanaume ila sauti yangu nyororo.
Nina dinda pia naona siku zangu.

Nna dunja (maziwa)
Kidogo.

Siku naona kamakawaida.

Naogopa sana kujulikana,

Naomba msaada wapenzi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom