Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

Status
Not open for further replies.
uoe au uolewe? kwani we jinsia gani ipo active sana?

kama ni k ipo active sana..basi kuolewa ingependeza zaidi
 
wazazi wako waliwezaje kukuacha ukakuwa na Jinsi zote zikiwa kamilifu? Au baada ya kuzaliwa ulitelekezwa? na ukaokotwa au ulikulia kwenye vituo vya watoto yatima?

Can not believe this hasa kwenye Africa tena hasa Tanzania la sivyo unaongea uonge au uweke picha hapa
Nlikulia kwa wazaz wang mbona, wangefanyaje sasa?, pengne walitaka nchague mwenyew,

Ndo mana wakanipa jina NURU,

jina linalotumika kwa ke na me,

Kwakua kwetu tuko sita, 4ke, 1me mwingne mimi ke/me wakaona waniandikishe kama me ili tuwe me wawil, hata skul walim walkua waknsanif sana
 
huyu mtu muongooooooo.... Katika Mila za Kiafrica hata kama alizaliwa hospital ya kifahari na kukuzwa kwenye famili lazima hilo suala wangelishughulikia mapema huyu Mdau ni muongo.....
Tomaso
 
Hamjambo wana JF,

Mimi ni mgeni kidogo hapa na nina jambo la mda mrefu linanisumbua.

Hadi sasa hivi sielewi niamue nini. Kibayolojia nina jinsia mbili.Ila phenotype (kimtazamo) ni kama mwanaume kidogo.

Napenda kuwa mwanaume ila sauti yangu nyororo. Nina dinda pia naona siku zangu. Nina dunja (maziwa) kidogo. Siku naona kama kawaida.

Naogopa sana kujulikana.

Naomba msaada wapenzi.

Pole sana,
ingekuwa ki sports zaidi , ningekushauri uwe bonge la demu,ningekushauri uingie kwenye michezo mingi, mfano kama unaenda kwenye kukimbia basi ukashindane na akina Mokgadi Caster Semenya(S.A) na male female duniani.
ila kwa kuwa unapata siku zako kama wanawake wengine, ni bora ukageukia kuwa msichana zaidi kuliko mvulana, ikiwezekana fuata ushauri wa madaktari jinsi ya kufanya sehemu nyingine isikusumbue.
 
Pole aisee. Mie naona bora uwe na msichana ambaye atakua anakutunzia siri zako hata ukiwa kwenye siku zako inakua ahueni.

Kwahiyo ndani kwako pads hazikosi. Ila una mtihani uwiiii [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Vihedh naona kama bitone, tone
 
Pole sana,
ingekuwa ki sports zaidi , ningekushauri uwe bonge la demu,ningekushauri uingie kwenye michezo mingi, mfano kama unaenda kwenye kukimbia basi ukashindane na akina Mokgadi Caster Semenya(S.A) na male female duniani.
ila kwa kuwa unapata siku zako kama wanawake wengine, ni bora ukageukia kuwa msichana zaidi kuliko mvulana, ikiwezekana fuata ushauri wa madaktari jinsi ya kufanya sehemu nyingine isikusumbue.
Asnte mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom