Apana naeza nisipate mume.
Hao mawifi nitawaangaliaje.??
Fanya hivi ukiwa na hamu ya kugegeda tafuta wa kumgegeda na ukiwa na hamu ya kugegedwa tafuta ugegedwe soini cha kuomba ushauri hapo nafsi yako tuu ndo yakuisikiliza naweza kukushauri A kumbe nafsi yako inataka B huoni hapo nshakukwaza?Hamjambo wana JF,
Mimi ni mgeni kidogo hapa na nina jambo la mda mrefu linanisumbua.
Hadi sasa hivi sielewi niamue nini. Kibayolojia nina jinsia mbili.Ila phenotype (kimtazamo) ni kama mwanaume kidogo.
Napenda kuwa mwanaume ila sauti yangu nyororo. Nina dinda pia naona siku zangu. Nina dunja (maziwa) kidogo. Siku naona kama kawaida.
Naogopa sana kujulikana.
Naomba msaada wapenzi.
Huu ndio ushauri bora kabisa, ni vizuri kuamua baada ya kupata msaadawa kitaalam kujua ni jinsia ipi yenye nguvu zaidi, na mwisho ndio uje uamuzi wako, pole sana na fanya subra huku ukifuatilia taratibu husika.Kama zote zinafanya kazi ni vyema upate ushauri wa kitabibu zaidi,ikiwezekana upate na vipimo kabisa kujua ni jinsi ipi ina nguvu zaidi
Chagua kiungo ambacho kina nguvu zaidi ya kingine ndo ukitumie.Hamjambo wana JF,
Mimi ni mgeni kidogo hapa na nina jambo la mda mrefu linanisumbua.
Hadi sasa hivi sielewi niamue nini. Kibayolojia nina jinsia mbili.Ila phenotype (kimtazamo) ni kama mwanaume kidogo.
Napenda kuwa mwanaume ila sauti yangu nyororo. Nina dinda pia naona siku zangu. Nina dunja (maziwa) kidogo. Siku naona kama kawaida.
Naogopa sana kujulikana.
Naomba msaada wapenzi.
Hatar sana!Olewa tuu, na mahar ako ukichagua 900 nadhani itapendeza
Nenda ukafanyiwe upasuaji ibaki jinsia moja. By the way una muonekano wa kike au kiume?Hamjambo wana JF,
Mimi ni mgeni kidogo hapa na nina jambo la mda mrefu linanisumbua.
Hadi sasa hivi sielewi niamue nini. Kibayolojia nina jinsia mbili.Ila phenotype (kimtazamo) ni kama mwanaume kidogo.
Napenda kuwa mwanaume ila sauti yangu nyororo. Nina dinda pia naona siku zangu. Nina dunja (maziwa) kidogo. Siku naona kama kawaida.
Naogopa sana kujulikana.
Naomba msaada wapenzi.
Sijaiona shost hebu nitag nijionee namm ya dunia..[emoji1]Hujaona clip?
Ushauri mzuriiiiKama zote zinafanya kazi ni vyema upate ushauri wa kitabibu zaidi,ikiwezekana upate na vipimo kabisa kujua ni jinsi ipi ina nguvu zaidi
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Kumbuka naye anadinda! Chunga sana
mh mh mh hiii funga mwaka kama sio story ya kutungaJamani kuna jirani yetu kijijini alikua hivyo wazazi wake wamfanya awe kama mwanamke kuanzia jina walimwita tausi na nguo walikua wanamvisha magauni
Lakini alikua anasimamisha alikuja mtia mimba mtoto wa mama ake mdogo
Tena baadae akaja gawa k akatusuliwa akaona kugongwa ni raha zaidi now nae kazaa na anaishi na mwanaume ila anamtito aliezaa na mwanamke
Mbavuuuu zanguuuu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ningwkuwa ni mimi ningekuwa nina mke pia nina mume, dah..raha sana hiyo kitu. OA PIA UOLEWE!