Nina elimu na maisha yananipiga, wapi nimejikwaa?

Nina elimu na maisha yananipiga, wapi nimejikwaa?

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,856
Leo najuta ni kwanini nilikazana kwenda shule.

Matokeo yake nimefika mwisho kazi sijapata na interview kibao nimefanya lakini hadi leo bado sijafanikiwa.

Cha kushagaza zaidi yale ambayo nimefundishwa shuleni hayafanani hata kidogo na jamii yangu.

Bora hata nigesoma namna ya kuwatuza kondoo nigefaidika sana

Kwa sasa sizani kama mtoto wangu nitakubali afundishwe na mfumo na mitaala kama hii.
 
Wewe tulia, angalia uwezekano wa kujiajiri.....
 
...pole mkuu nyamaza kulia ndio uanaume huo...labda ridhiki yako bado ipo njiani...
Si unajua ridhiki mafungu 7...
 
Leo najuta ni kwanini nilikazana kwenda shule..!
matokeo yake nimefika mwisho kazi sijapata na interview kibao nimefanya lakn hadi leo bado sijafanikiwa..!
cha kushagaza zaidi yale ambayo nimefundishwa shuleni hayafanan hata kindogo na jamii yangu.
bora hata nigesoma namna ya kuwatuza kondoo nigefaidika sana
kwa sasa sizani kama mtoto wangu nitakubali afundishwe na mufomo na mitahara kama hii.

ELIMU..!?.! MHMMM.

hujapata elimu na hilo ndilo linalokusumbua!! Elimu ni.wezesho la kukabiriana na mazingira ma siyo vyeti!!
 
Aliyekwambia kusoma ni kufaulu maisha nani?
9therwise nenda kwa Gwajimaukaombewe maybe una mkosi na balaa
 
Ndugu yangu chan msingi ni kutia nia tu na nia yenyewe iwe unataka kufanya shughuli gani. Lazima uwe na lengo fulani sio kusema kazi yoyote utafanya hapana, weka mawazo yako mahali pamoja hata ukupata kibarua cha kujishikia sawa fanya lakini lengo lako libakie akilini mwako kuwa unataka kufanya nini katika maisha yako. Kwa kadiri utavyo fikiria na kuwazia hilo lengo utashangaa siku moja wazo lako litatimia!
 
Thank you.
 
Leo najuta ni kwanini nilikazana kwenda shule..!
matokeo yake nimefika mwisho kazi sijapata na interview kibao nimefanya lakn hadi leo bado sijafanikiwa..!
cha kushagaza zaidi yale ambayo nimefundishwa shuleni hayafanan hata kindogo na jamii yangu.
bora hata nigesoma namna ya kuwatuza kondoo nigefaidika sana
kwa sasa sizani kama mtoto wangu nitakubali afundishwe na mufomo na mitahara kama hii.

ELIMU..!?.! MHMMM.

Pole sana mkuu , ndo elimu ya bongo jinsi ilivyo... wewe tizama wenzako hapa amabao mko nao njia moja uone ...kwakweli elimu ya bongo ni zaidi ya janga la ebola.
 
Attachments

  • t.jpg
    t.jpg
    12.7 KB · Views: 244
  • unemployed1.jpg
    unemployed1.jpg
    26.8 KB · Views: 292
  • 20s_crop380w.jpg
    20s_crop380w.jpg
    9.9 KB · Views: 259
  • y.jpg
    y.jpg
    11.8 KB · Views: 223
Elimu ni utajiri kuliko mali wala usijutie! Hiyo ni mitihani tu,Mungu atakusaidia endelea tu kumuomba na Inshaalah hivi karibuni utapata kazi kwa uwezo wake Mola,kumbuka Riziki huja kama Ndoto!
 
Shida wewe unategemea vyeti wakati unatakiwa kutegemea zaidi Mungu na ujuzi ulionao ikiwemo nguvu na afya.Ikielewa ilo basi
 
Kutuza kondoo??
Sizani??
Mitahara??
Na umesoma mpaka madarasa yameisha??
Leo najuta ni kwanini nilikazana kwenda shule..!
matokeo yake nimefika mwisho kazi sijapata na interview kibao nimefanya lakn hadi leo bado sijafanikiwa..!
cha kushagaza zaidi yale ambayo nimefundishwa shuleni hayafanan hata kindogo na jamii yangu.
bora hata nigesoma namna ya kuwatuza kondoo nigefaidika sana
kwa sasa sizani kama mtoto wangu nitakubali afundishwe na mufomo na mitahara kama hii.

ELIMU..!?.! MHMMM.
 
Mdau pinga moyo konde usikate tamaa...pia muombe mola wako atakuonyesha njia .
 
kaa chini tafakari kwa kina unataka kutoka kimaisha kwa namna ipi ikiwa unafikiri kutoka kimaisha ni kwa kuajiriwa peke yake hapo ndipo unapoona maisha magumu ila ukitafakari kwa kina unaweza ukakuta ungeshajiajiri zamani tena bila ya mtaji wa mamilioni.

sasa tumia maarifa uliyoyapata shuleni/vitabuni ujuzi maarifa kukufikisha hapo
 
kaa na watu pata mawazo mapya jifunze kutoka kwao nini wanafanya na kwa namna gani wanafanya shirikisha ushirikishwe kuwa na nia amini katika nia yako mambo yatabadilika.
unapozidi kulaumu na kulaumu na kukata tamaa unaiumba shida wewe mwenyewe. unaipa shida kiti cha kukaa na kuweka makazi kwako.
acha kulalamika funguka waza positive and believe everything will change.
 
Pole sana mkuu , ndo elimu ya bongo jinsi ilivyo... wewe tizama wenzako hapa amabao mko nao njia moja uone ...kwakweli elimu ya bongo ni zaidi ya janga la ebola.

Asante sana ndg yangu kwa maoni yako manzuri.
 
NDIO Muwaelekeze Wadogo Zenu Umuhim Wa Sayansi Hususan Kilimo,mifugo Na Afya Ni Rahisi Kujiajiri
Bla Shaka Ulisoma Arts
 
education does not guarantee success but it is a touch to seek where the success is. kwahiyo usilie sana kwakujidnganya elimu yako itakupa mafnikio ila nakushauri umuombe Mungu akusaidie nasio kuitegemea elimu ikusaidie.
 
Back
Top Bottom