Nina dukuduku kuhusu Mbeya

Nina dukuduku kuhusu Mbeya

Nime tokea kuto papenda kwasababu Mbeya ni kama kijiji kilicho changamka ni mji ambao hauvutii kabisa ni vibaya kuliita jiji licha ya kukusanya kodi nyingi ila mbeya ni pabovu sana sijui wenzanguu mna paonaje?

Nitajieni sehemu za starehee mbeya ambazo ni classic?

Ata dodoma pazuri mji ulio anzishwa juzi tu
How old are you?
 
Uzuri wa mbeya nikua kweli pabaya, ila ni moja ya mkoa ukiondoa dar wilaya zake zote zina mapato makubwa na zinakaribia kuwa na hadhi ya miji midogo. Lakin pia mby unaweza enda zaid ya km 30 uyole to mbaliz ukawa upo mjini japo bila kuwa na cbd.
 
Back
Top Bottom