Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,034
- 1,003
Nilikuwa napenda sana aina sanlg cc 150 nikiipata toka Ilula ni njema sana.Mimi ni mgeni kwenye hivi vyombo naombeni ushauri. Hata aina hiyo kuna mtu alishauri
Kumbe??Nenda kituo chochote cha polisi wanauzaga pikipiki zilizikamatwa na wenyewe wakazikimbia au za wizi ambazo.wenyewe hawajapatikana!! Hua zinauzwa kwa manada then unapewa barua kwenda TRA kupewa hati mpya!
leta iyo pesa nikupe pikipikibaskeli
Sent from my iPhone using JamiiForums
Asante sana kwa ushauri ngoja nifanye utaratibu wa kuwaona.Nenda kituo chochote cha polisi wanauzaga pikipiki zilizikamatwa na wenyewe wakazikimbia au za wizi ambazo.wenyewe hawajapatikana!! Hua zinauzwa kwa manada then unapewa barua kwenda TRA kupewa hati mpya!
Mkuu hiyo hapana nashukuruleta iyo pesa nikupe pikipikibaskeli
Sent from my iPhone using JamiiForums
Haina neno takujulisha
Mkuu hiyo hapana nashukuru
😁😁 nadhani labda na vitu lainiiko fresh mkuu, Ukukimbizana na Upendo bus unamwacha km 100
Petrol😁
mkuu mbona nilisikia wanajipigiaga pasi wenyewe tuu?? na jee gari pia zinapatkana??Nenda kituo chochote cha polisi wanauzaga pikipiki zilizikamatwa na wenyewe wakazikimbia au za wizi ambazo.wenyewe hawajapatikana!! Hua zinauzwa kwa manada then unapewa barua kwenda TRA kupewa hati mpya!
NB; hakikisha hauna den tra vngnevyo unaenda kuumbuka!!Asante sana kwa ushauri ngoja nifanye utaratibu wa kuwaona.
2.5m
Bajeti haisomi mkuuAcha kupenda mtelemko nunua mpya