Nina bajeti ya laki sita nahitaji pikipiki yenye unafuu Iringa Mjini

Hakikwanza

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
4,034
1,003
Nilikuwa napenda sana aina sanlg cc 150 nikiipata toka Ilula ni njema sana.Mimi ni mgeni kwenye hivi vyombo naombeni ushauri. Hata aina hiyo kuna mtu alishauri
 
Nenda kituo chochote cha polisi wanauzaga pikipiki zilizikamatwa na wenyewe wakazikimbia au za wizi ambazo.wenyewe hawajapatikana!! Hua zinauzwa kwa manada then unapewa barua kwenda TRA kupewa hati mpya!
 
Asante sana kwa ushauri ngoja nifanye utaratibu wa kuwaona.
 
Nenda kituo chochote cha polisi wanauzaga pikipiki zilizikamatwa na wenyewe wakazikimbia au za wizi ambazo.wenyewe hawajapatikana!! Hua zinauzwa kwa manada then unapewa barua kwenda TRA kupewa hati mpya!
mkuu mbona nilisikia wanajipigiaga pasi wenyewe tuu?? na jee gari pia zinapatkana??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom