"Nina Allergy na Kondomu"

"Nina Allergy na Kondomu"

Mi napenda kutumia kondomu ila kupata size yangu ndio mtihani.
 
Sasa ndo aangalie mazingira aliokuepo.. 😂😂.
Hatumii cndm alaf anachukuliwa na mtu kugegedwa.. Its risk hata kwake mwenyewe mbna.. Labda awe na other measures za kuepuka friction.. 😔
Kinga ni bora kuliko tiba, hatujapima siwezi uza mechi kamwe acha tu nile pipi na maganda yake.
 
Wapo mkuu.. Kuna watu hadi alergy na spms piaa.. Yan akitumia anawashwaa vibayaaa mnoo😔😔
Sasa mtu anajijua ana allergy alafu anatakaje show kiholela loh😞😞
Acha basi 😅😅😅
 
Unakutana na mtu kwenye maeneo ya raha wenyewe mnakula biere na kuvibe na mwisho wa siku mnaishia kwenye one night stand.

Kwenye tendo mtu anakuambia anataka mkulane nyama kwa nyama kwa madai eti akitumia kondomu zinamletea Aleji. Hlf hapo unakuta hamjapima afya wala hamjuani hali zenu za kiafya.

Jamani hivi kuna ukweli hapa au ndo mambo ya kuingizana kwenye mzunguko?
Ni bora ule kwa macho.
 
.....na mimi pia mipira huwa hainitoshi, zinakua kubwa mno....
 
Back
Top Bottom