Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Utakufa vibaya mkuu!
eti eehNa ukimwi wa siku hizi umetulia tulii kama haupo vile...
GoviKesho yake mambo huwa hivi.View attachment 2536905
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mkuu hakuna uzembe na ujinga kma kupata huo ugonjwa .Na ukimwi wa siku hizi umetulia tulii kama haupo vile...
Kwanza kwann uzini wakat mungu kakatazaYaani ukiona mtu mmekutana mazingira hayo halafu haulizii kondom. Awe wa kike au wa kiume vaa nguo uondoke.
Huyo hata ukimlazimisha kutumia condom bado atakuambukiza ugonjwa wowote tu.