mwemweremwemwere
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 605
- 681
Unakutana na mtu kwenye maeneo ya raha wenyewe mnakula biere na kuvibe na mwisho wa siku mnaishia kwenye one night stand.
Kwenye tendo mtu anakuambia anataka mkulane nyama kwa nyama kwa madai eti akitumia kondomu zinamletea Aleji. Hlf hapo unakuta hamjapima afya wala hamjuani hali zenu za kiafya.
Jamani hivi kuna ukweli hapa au ndo mambo ya kuingizana kwenye mzunguko?