maatope
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,424
- 957
Nasikitika sana kusema haya maneno lakini sina jinsi kwa kweli ,inabidi tu members wa JF wameshindwa kuendana na kasi yangu ya ubongo.
Iam a prodigy, threads zangu ni za nguvu mno mpaka najiogopa,wakati mwingine huwa nahisi mimi ni mjukuu wa Einstein!
Adioos
Iam a prodigy, threads zangu ni za nguvu mno mpaka najiogopa,wakati mwingine huwa nahisi mimi ni mjukuu wa Einstein!
Adioos