Nina akili nyingi, Ubongo wangu unatisha

maatope

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
1,424
957
Nasikitika sana kusema haya maneno lakini sina jinsi kwa kweli ,inabidi tu members wa JF wameshindwa kuendana na kasi yangu ya ubongo.

Iam a prodigy, threads zangu ni za nguvu mno mpaka najiogopa,wakati mwingine huwa nahisi mimi ni mjukuu wa Einstein!

Adioos
 
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ukiyastaajabu ya mwizi wa pichu chafu za mkewe na house girl ili azinuse utayaona ya Maaaaaaatope!!!!
 
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ukiyastaajabu ya mwizi wa pichu chafu za mkewe na house girl ili azinuse utayaona ya Maaaaaaatope!!!!

Yule wa pichu kiboko aisee
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Imejitahidi 'kutoka vipi' lakini sio new invention kama ambayo ningetegemea kwa mtu asiye na maatope yaliyofunikwa na fuvu la kichwa
 
Last edited by a moderator:
Kuna kuwa na akili na kuna kutumia ipasavyo akili uliyonayo...

Kutokueleweka na wengi haimaanishi wajua sana...
 
Huwa namtizama bata anavyokupenda!akili ya biashara na akili ya kuvukia barabara lakini zote ni akili.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom