Nina 70,000 niifanyie nini

Nina 70,000 niifanyie nini

Hakuna aliyeanzia pakubwa, hiyo 70, 000 japo ndogo, lakin unaweza kufanya jambo kubwa. Anza biashara ya kuku, tafuta kijiwe , anza hata na kuku watano (25, 000) wa Dar hawaachi kitu, kuanzia utumbo mpaka miguu ya kuku wewe uza.
Mac Juice alianza na mtaji wa elfu 7! Yeye ana mara 10 ya hio pesa...haina kufeli
 
Fanya kama huna hiyo hela,ifiche mahali usi ione kbsa kisha anza kusaka ajira kibarua yani Teseka lala njaa jitose kwenye maisha na wala usiikumbuke ile 70 kule ulipoificha,nina uhakika utapata tena hela.

ukipata tena kaifiche kule ulipoficha ile 70 ya mwanzo,ingia tena tafuta kbarua,saka pesa,saka kazi teseka hasa usichague kazi,utapata tena najua,chukua hyo amount kaongezee kule kwenye zile za mwanzo.

nenda na mwendo huo huo hadi utakapoona sasa nimechoka nahitaji kufanya biashara yangu nipumzike kidogo,katoe zile hela ulipokua unazificha angalia una kiasi gani kisha kwenye hiyo hela fungua biashara inayohtaji mtaji wa ile 70k ya mwanzo kbsa,yani fanya kama una 70k tafuta biashara ya mtaji huo fanya hela zingine ziache zikulinde na kuipa backup biashara yako itakapoyumba.
 
Mkuu, minaamini kwamba hata upate 1,000,000 wakati wewe binafsi haujaanza na wazo, hakika hiyo pesa haito kusaidia hata upate ushauri kutoka kwa malaika....
Minaamini wewe ndie ulipaswa uje na wazo, kisha uombe ushauri kwa hiyo pesa uliopata and hopefully ungekua na utayari/uthubutu
 
Nunua tray ya mayai 2
7800×2=15600
Chemsha mayai sambaza
Mayai 60×400=24000
MATUMIZI
Mayai 15600
Mkaa 2000
Chumvi 400

Faida 6000.

Komaa uuze tray 2 kila siku.
Jioni unatafta kijiwe unachoma mishikaki ya 200 Nayo hutakosa 6000 faida
So utalaza 12000.
 
Naomba na Mimi nichangie kidogo,maana na Mimi nitabarikiwa kwa atakayefurahia na kuufuata mcahngo wangu......nenda kariakoo,kanunue chupa za Nani za watoto wa nursery....hizi chupa za yebo yebo......wanauza chupa 82, kwa shilingi 80000, wewe unauza chupa moja 1500 au 2000. Sasa sijui utapata faida kiasi ganii...maana hesabu nilipata F.
 
Naomba na Mimi nichangie kidogo,maana na Mimi nitabarikiwa kwa atakayefurahia na kuufuata mcahngo wangu......nenda kariakoo,kanunue chupa za Nani za watoto wa nursery....hizi chupa za yebo yebo......wanauza chupa 82, kwa shilingi 80000, wewe unauza chupa moja 1500 au 2000. Sasa sijui utapata faida kiasi ganii...maana hesabu nilipata F.
Jomba mwana ana 70, tayari hapo ishavuka
 
Naomba na Mimi nichangie kidogo,maana na Mimi nitabarikiwa kwa atakayefurahia na kuufuata mcahngo wangu......nenda kariakoo,kanunue chupa za Nani za watoto wa nursery....hizi chupa za yebo yebo......wanauza chupa 82, kwa shilingi 80000, wewe unauza chupa moja 1500 au 2000. Sasa sijui utapata faida kiasi ganii...maana hesabu nilipata F.
Hizo chupa zina faida gani
 
Habari

Nimefanikiwa kupata kiasi cha 70,000 nahitaji hii pesa initoe kwenye dimbwi la umasikini.

Niifanyie kitu gani ambacho kitakuza mtaji haraka sana.

Nipo Dsm.
Endelea kutafuta elfu 70 ingine
 
Nenda haraka kampe everton

Baada ya dakika 90

Utakuwa umeshapata 140k
Nenda haraka kampe everton

Baada ya dakika 90

Utakuwa umeshapata 140k
evertona kafa chuma 2.
nilimuona mapema tu sikumbetia.



hata role model wangu victor predict hakumfuata.

betting inahitaji machale sanaaa

hio elfu 70 inahitaji uchambuzi sana maana haitatumika yote kununulia bidhaa za kuuza

kuna nauli
kuna kula
kuna emergence

Dogo nakushauri ingia kwenye kazi za ulinzi ukuze mtaji wako md huo hata kama ukilipwa 150,000 poa tu

Muhimu afya
 
Nenda kwenye duka la vyombo nunua zile bakuri za mifuniko zlizo transparent (maalufu kwa kotena) Kama kontena10 nadhani haizidi buku jelo kwakila1,kisu,kopo2 za tooth pick.kisha ingia Sokoni chukua,nanasi,papai,chungwa,tango,Ndizi,parachichi,Tikiti maji namatunda mengneyo.Menya matunda yako katakata Kisha weka kwakuchanganya kwenye izo kontena zako...ukimaliza nunua mfuko au kikapu,ingia town,maeneo yastend, garage,vijiweni,masaloon nasehemu zote zenye mikusanyiko yawatu ilio changamka.piga kila kontena bukubuku,au pia kata nakiwango chajerojero.nahakika Apo haiwez maliza iyo70 yako ila baada yawiki kadha utakuwa napesa yakutazama kikubwa zaidi
 
Hyo biashara ya kutembeza vitu isikie tu kwa mwenzio[emoji16][emoji16][emoji16]
Nenda alfajiri pale buguruni sokoni au Temeke streo na elfu 30,000 kanunua matunda ( matango) na vile vimfuko vya plastick na chumvi na kisu cha kumenyea halafu, halafu amza kuyatembeza sehemu yenye mikusanyika ya watu.stendi za daladala au kwenye foleni.

Au nenda kanunua yale maji na zile soda na juice take away pita kwenye foleni.kuna foleni hapa maeneo ya banana kuja airport au kinyerezi kuja majumbasita haina hiyo huduma.utapiga hela.Ukianza utapata pia biashara nyingine hukohuko
 
Back
Top Bottom