Nenda duka la vyombo nunua birika2,vikombe vya kahawa,njiko la mkaa,chupa mbili za chai ingia Sokoni,chukua tangawizi,kahawa,Anza kupika kahawa na tangawizi,Asubuh wahi stend navituo vyadaladala watembezee watu,ukiweza pika nakashata Tembea nazo.....baada yawiki kadhaa utakuja kuleta mrejeshoHabari
Nimefanikiwa kupata kiasi cha 70,000 nahitaji hii pesa initoe kwenye dimbwi la umasikini.
Niifanyie kitu gani ambacho kitakuza mtaji haraka sana.
Nipo Dsm.
Utamuua mwenzio kwa presha,hii kazi ta sisi manunda,everton kachana aiseeNenda haraka kampe everton
Baada ya dakika 90
Utakuwa umeshapata 140k
Mipango ya mtandaoni hiiiNunua tray ya mayai 2
7800×2=15600
Chemsha mayai sambaza
Mayai 60×400=24000
MATUMIZI
Mayai 15600
Mkaa 2000
Chumvi 400
Faida 6000.
Komaa uuze tray 2 kila siku.
Jioni unatafta kijiwe unachoma mishikaki ya 200 Nayo hutakosa 6000 faida
So utalaza 12000.
FT: S'ton 2-0 Everton.....mwana angeambulia kipigo cha mbwa koko [emoji23][emoji23][emoji23]Nenda haraka kampe everton
Baada ya dakika 90
Utakuwa umeshapata 140k
Mambo Khadija..Hakuna aliyeanzia pakubwa, hiyo 70, 000 japo ndogo, lakin unaweza kufanya jambo kubwa. Anza biashara ya kuku, tafuta kijiwe , anza hata na kuku watano (25, 000) wa Dar hawaachi kitu, kuanzia utumbo mpaka miguu ya kuku wewe uza.
Wapi wanauza hzo chupa mkuu?Naomba na Mimi nichangie kidogo,maana na Mimi nitabarikiwa kwa atakayefurahia na kuufuata mcahngo wangu......nenda kariakoo,kanunue chupa za Nani za watoto wa nursery....hizi chupa za yebo yebo......wanauza chupa 82, kwa shilingi 80000, wewe unauza chupa moja 1500 au 2000. Sasa sijui utapata faida kiasi ganii...maana hesabu nilipata F.
Kumtoa itamtoa ila itachukua muda na kukaza sana.70k haikutoi kwenye umasikini.
Kama uko low kiasi hicho mkuu nashauri sana uinvest kwenye kupata more skills ambazo ni useful zitakazokusaidia kuingiza kipato. 70k huwezi wekeza kwenye biashara yoyote ile tusidanganyane.
Unataka invest 70k una hela ya kula na pa kulala?
Ngoja nikusaidie ili ifike 90,000/= leo leo. Fanya hivi nenda Kurasini Mivinjeni kuna jamaa ana kontena anauza apples frm SA..box 57,000/= chukua box lenye apple 90. Tafuta sehemu kkoo, uweke box upakie baadhi kwenye mfuko. Pita madukani uza apple moja 1000. Masaa mawili mzigo umekata.
Nakupa hii sababu mimi ninaifanya kila ijumaa.
Uzuri wa box linalokaa apple 90 ni makubwa sana so yanamvutia mnunuzi. Utapata wateja parmanent ambao watakua wanachukua lets kila wiki.
Ushauri huu ni zaidi ya ushauri wa PhD za maukiFanya kama huna hiyo hela,ifiche mahali usi ione kbsa kisha anza kusaka ajira kibarua yani Teseka lala njaa jitose kwenye maisha na wala usiikumbuke ile 70 kule ulipoificha,nina uhakika utapata tena hela.
ukipata tena kaifiche kule ulipoficha ile 70 ya mwanzo,ingia tena tafuta kbarua,saka pesa,saka kazi teseka hasa usichague kazi,utapata tena najua,chukua hyo amount kaongezee kule kwenye zile za mwanzo.
nenda na mwendo huo huo hadi utakapoona sasa nimechoka nahitaji kufanya biashara yangu nipumzike kidogo,katoe zile hela ulipokua unazificha angalia una kiasi gani kisha kwenye hiyo hela fungua biashara inayohtaji mtaji wa ile 70k ya mwanzo kbsa,yani fanya kama una 70k tafuta biashara ya mtaji huo fanya hela zingine ziache zikulinde na kuipa backup biashara yako itakapoyumba.
Hizo biashara wengi sana wanafanya wako palepale stuck hawana maendeleo yoyote, tatizo la business ulizosema hapo ni kua kila mtu anafanya, unaingia kwenye competition kubwa mno, returns zake ni ndogo sana, sasa ukichukua 70k ukasema return ni 20% maana yake kapata 14k. Sasa 14k hata msosi tu haitoshi what's the use kuanza hiyo business?Kumtoa itamtoa ila itachukua muda na kukaza sana.
Mzee kuna biashara za kibwege sana na zina lipa kinyama inategemeana na location, au upepo tu umekunyookea. mfano wa hizi biashara
1. Muuzaji wa utumbo
2. Muuzaji wa maziwa mtindi/fresh unatoa shamba unauza kwa watu majumbani au stendi
3. Karanga mbichi au zilizo kaangwa
4. Goli la mama lishe /supu
5. Muuzaji wa mahindi ya kuchemsha au kuchoma
6. Mboga mboga
Changamoto za biashara za mtaji mdogo ukiumwa kidogo mtaji kwisha.
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Kwa Dar anaweza kuinvest usimkatishe tamaa70k haikutoi kwenye umasikini.
Kama uko low kiasi hicho mkuu nashauri sana uinvest kwenye kupata more skills ambazo ni useful zitakazokusaidia kuingiza kipato. 70k huwezi wekeza kwenye biashara yoyote ile tusidanganyane.
Unataka invest 70k una hela ya kula na pa kulala?
Niambie 70k unainvest wapi?Kwa Dar anaweza kuinvest usimkatishe tamaa
Endelea kuitunza walau ifike lakiHabari
Nimefanikiwa kupata kiasi cha 70,000 nahitaji hii pesa initoe kwenye dimbwi la umasikini.
Niifanyie kitu gani ambacho kitakuza mtaji haraka sana.
Nipo Dsm.
Inaonyesha ana nia ya kutoka,tumuongezee ifike hata laki mojaEndelea kuitunza walau ifike laki
Mkuu upo sawa. Ila amini siamini kutoka kunahitaji kujinyima sanaHizo biashara wengi sana wanafanya wako palepale stuck hawana maendeleo yoyote, tatizo la business ulizosema hapo ni kua kila mtu anafanya, unaingia kwenye competition kubwa mno, returns zake ni ndogo sana, sasa ukichukua 70k ukasema return ni 20% maana yake kapata 14k. Sasa 14k hata msosi tu haitoshi what's the use kuanza hiyo business? Kama una hela ndogo kiasi hicho na unataka business hakikisha iwe inayoreturn 100% yaani from 70k to 140k in one round which is so difficult. 70k badala ya kuanzisha biashara bora angetunza ale, mimi hata ajira natoa naweza mlipa mtu 500k kama anafanya kazi vizuri na kumlipia msosi kabisa kila mwezi ili atunze hela aje ajiendeleze mwenyewe. 70k is nothing sio kwa dunia ya sasa.