Hakuna aliyeanzia pakubwa, hiyo 70, 000 japo ndogo, lakin unaweza kufanya jambo kubwa. Anza biashara ya kuku, tafuta kijiwe , anza hata na kuku watano (25, 000) wa Dar hawaachi kitu, kuanzia utumbo mpaka miguu ya kuku wewe uza.Habari
Nimefanikiwa kupata kihasi cha 70,000 nahitaji hii pesa initoe kwenye dimbwi la umasikini.
Niifanyie kitu gani ambacho kitakuza mtaji haraka sana.
Nipo Dsm.
Mwenzenu kaomba ushahuri jamaniNjoo inbobo,weekend hii tupate ya kotolea locki.
Mwenzio anataka hiyo 70 imtoe kwenye umaskini. Ww betting imekutoa kwenye umaskini?Nenda kabeti, jumamosi leo kuna mechi kibao.
Hahahah daahNjoo inbobo,weekend hii tupate ya kotolea locki.
Wewe kama wewe wazo lako la mwanzo ilikuwa ufanye biashara gani?, unaishi kwenu au unajitegemea? Jee ni lazima hio biashara uifanyie dar au hata nje ya dar?Niliuza PC.
Nenda mbagala rangi tatu waambie unaanza kutembeza samaki. Hiyo pesa unapata samaki wa kutosha na hapo hapo buchani utakutana na watembezaji wengi. Watakufundisha jinsi ya kukata vipande na bbei zake. Chukua samaki tembeza na wakibaki unarudisha pale pale buchani wanakuhifadhia.Habari
Nimefanikiwa kupata kiasi cha 70,000 nahitaji hii pesa initoe kwenye dimbwi la umasikini.
Niifanyie kitu gani ambacho kitakuza mtaji haraka sana.
Nipo Dsm.
Biashara hii unakata mtaji tuvipande twenyewe tudogo wakibaki je halafu hauna fridgeNenda mbagala rangi tatu waambie unaanza kutembeza samaki. Hiyo pesa unapata samaki wa kutosha na hapo hapo buchani utakutana na watembezaji wengi. Watakufundisha jinsi ya kukata vipande na bbei zake. Chukua samaki tembeza na wakibaki unarudisha pale pale buchani wanakuhifadhia.