My hubby
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 451
- 413
Hili ni fundisho kwa kina mama, kuwa makini na watoto
Ntakugaya ujueee
Hili ni fundisho kwa kina mama, kuwa makini na watoto
Jela hiyo mzee. We umuingize mtu chuma cha ****** utamwambia nini hakimu?
Kwa nn?Kama wote wana 18+ na wanapendana wafaidi tu mapenzi yao
!Kiukweli nilistuka sana nikajiulza naanzaje kula tgo ya best frd wangu?
Kula tu mzee. Dodo hilo chini ya mnazi. Vaa sura ya mavi alafu muinamishe. Unataka nini sasaHabari zenu wakuu,
Mimi ni kijana mwanaume nina rafiki yangu (mwanaume) ambae tuna takribani miaka kumi kwenye urafiki tulikutana chuoni mimi nikiwa mwaka wa kwanza yeye wa tatu! Ni mtu mpenda ibada, kila j2 chachi hakosi, yuko smart, msomi, mchapa kazi!
Toka nimemfahamu hakuwa mtu wa wasichana kabisa mpaka pale nilipokuja kushtushwa kuwa eti kuna dada kampa mimba, na ili kutunza heshima yake akaamua kumuoa yule dada fasta, ndoa yake ilidumu kama miaka mitano then ikasambaratika wakati huo wameshazaa watoto wa kiume wawili! Jamaa akahama mkoani akahamia mkoa ninaokaa mimi hivyo tukaendelea kuwa pamoja kama marafiki!
Sasa kuna siku nakumbuka mwaka 2014 tulikuwa tumekaa sehemu moja ivi tulivu tunapata kinywaji huku tunapiga stori mbili tatu!Ndipo aliponidokeza kuwa anahisia za kishoga, nilistuka lakini nikajikaza nikajaribu kumuhoji kuwa zimeanza lini akanambia kuwa anaamini kuwa amezaliwa ivo!Pia nikamuulza kama ameshawahi kulawitiwa huko siku za nyuma akasema kuna mtu alishamuingilia kipindi ana miaka5 lakini akasisitiza kuwa yeye amezaliwa na hizo feelings!
Mwaka ukapita siku zikasogea, sasa jana tukawa tunachat nikamuulza kama bado ana zile hisia za kishoga akanambia bado anazo na anawish mimi niwe mpenzi wake nimkiss, nimu hug na mwisho nimfanye coz ananipenda toka kitambo ila alikuwa anaona aibu kunambia!Kiukweli nilistuka sana nikajiulza naanzaje kula tgo ya best frd wangu?
Pili nikawaza nimkimbie but he is my gud frend, je nikimkimbia nitakuwa namsaidia? Nami lengo langu nataka nimsaidie atoke katika hali hii! Amenambia kwa sasa haitaji mwanamke, yeye anaitaji kuwa na mimi tu coz ananiamini pia ananipenda na anatamani nimuoe!
Hivyo wadau naombeni msaada wenu wa mawazo nimsaidieje huyu rafiki yangu ili aondokane na hii hali?
Wakubwa inawezekana sijaandika hii ishu kwa namna ambayo kila mtu angetafsiri the way nlivokuwa nawaza!mfano wengi wameuliza kwa nini nilimuulza km bado ana gay feelings?watu wakatafsiri kwamba niliulza ili nijue km bado anafeel ili nikamle!ukweli ni kwamba mimi si wa hivyo,nimeoa na nina watoto,mke wangu ananitosha hvyo sina sababu ya kumla rafiki yangu,ila nimeleta hapa ili wadau mnipe mawazo ya kumsaidia huyu rafiki yangu!Nilimuulza lile swali coz tulikuwa tunapga story asa nikamchomekea kuwa kwa sasa anahitaji kuwa na demu angalau ampe kampani,akanijibu kuwa haitaji mwanamke kwa sasa pia hana hisia na wanawake,ndo nikamuuliza"do u stil hav thoz gay feelings?"ndo hayo mengine yakaendele!Hivyo naomba msinielewe vbaya kwa kumuulza hilo swali!Frankly Chief, wewe pia unahitaji msaada. Tone yako inaonyesha hukerwi wala kusumbuliwa na vitendo vya ushoga. Kwa namna ulivyoelezea, na details, inaonyesha uko more comfortable than you're uncomfortable about the whole situation.
"Kiukweli nilistuka sana nikajiulza naanzaje kula tgo ya best frd wangu?". It's only a matter of time man.
Mmhh kuna mitihani hapa duniani. M.Mungu tusaidieKula tu mzee. Dodo hilo chini ya mnazi. Vaa sura ya mavi alafu muinamishe. Unataka nini sasa
Wakubwa inawezekana sijaandika hii ishu kwa namna ambayo kila mtu angetafsiri the way nlivokuwa nawaza!mfano wengi wameuliza kwa nini nilimuulza km bado ana gay feelings?watu wakatafsiri kwamba niliulza ili nijue km bado anafeel ili nikamle!ukweli ni kwamba mimi si wa hivyo,nimeoa na nina watoto,mke wangu ananitosha hvyo sina sababu ya kumla rafiki yangu,ila nimeleta hapa ili wadau mnipe mawazo ya kumsaidia huyu rafiki yangu!Nilimuulza lile swali coz tulikuwa tunapga story asa nikamchomekea kuwa kwa sasa anahitaji kuwa na demu angalau ampe kampani,akanijibu kuwa haitaji mwanamke kwa sasa pia hana hisia na wanawake,ndo nikamuuliza"do u stil hav thoz gay feelings?"ndo hayo mengine yakaendele!Hivyo naomba msinielewe vbaya kwa kumuulza hilo swali!Frankly Chief, wewe pia unahitaji msaada. Tone yako inaonyesha hukerwi wala kusumbuliwa na vitendo vya ushoga. Kwa namna ulivyoelezea, na details, inaonyesha uko more comfortable than you're uncomfortable about the whole situation.
"Kiukweli nilistuka sana nikajiulza naanzaje kula tgo ya best frd wangu?". It's only a matter of time man.
Hahahahaahahaaaa dahhh umenishinda akilianipatie mawasiliano yake, maana hakuna namna, ainamishwe tu hakuna jinsi.
Ha ha ha punguza umakini wa kusoma between the lines[emoji1]Hahahahahahaha kaka, asingekuwa best friend wako je?