Nimsaidieje aondokane na ''gay feelings''?

Nimsaidieje aondokane na ''gay feelings''?

Status
Not open for further replies.

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
2,073
Reaction score
2,027
Habari zenu wakuu,

Mimi ni kijana mwanaume nina rafiki yangu (mwanaume) ambae tuna takribani miaka kumi kwenye urafiki tulikutana chuoni mimi nikiwa mwaka wa kwanza yeye wa tatu! Ni mtu mpenda ibada, kila j2 chachi hakosi, yuko smart, msomi, mchapa kazi!

Toka nimemfahamu hakuwa mtu wa wasichana kabisa mpaka pale nilipokuja kushtushwa kuwa eti kuna dada kampa mimba, na ili kutunza heshima yake akaamua kumuoa yule dada fasta, ndoa yake ilidumu kama miaka mitano then ikasambaratika wakati huo wameshazaa watoto wa kiume wawili! Jamaa akahama mkoani akahamia mkoa ninaokaa mimi hivyo tukaendelea kuwa pamoja kama marafiki!

Sasa kuna siku nakumbuka mwaka 2014 tulikuwa tumekaa sehemu moja ivi tulivu tunapata kinywaji huku tunapiga stori mbili tatu!Ndipo aliponidokeza kuwa anahisia za kishoga, nilistuka lakini nikajikaza nikajaribu kumuhoji kuwa zimeanza lini akanambia kuwa anaamini kuwa amezaliwa ivo!Pia nikamuulza kama ameshawahi kulawitiwa huko siku za nyuma akasema kuna mtu alishamuingilia kipindi ana miaka5 lakini akasisitiza kuwa yeye amezaliwa na hizo feelings!

Mwaka ukapita siku zikasogea, sasa jana tukawa tunachat nikamuulza kama bado ana zile hisia za kishoga akanambia bado anazo na anawish mimi niwe mpenzi wake nimkiss, nimu hug na mwisho nimfanye coz ananipenda toka kitambo ila alikuwa anaona aibu kunambia!Kiukweli nilistuka sana nikajiulza naanzaje kula tgo ya best frd wangu?

Pili nikawaza nimkimbie but he is my gud frend, je nikimkimbia nitakuwa namsaidia? Nami lengo langu nataka nimsaidie atoke katika hali hii! Amenambia kwa sasa haitaji mwanamke, yeye anaitaji kuwa na mimi tu coz ananiamini pia ananipenda na anatamani nimuoe!

Hivyo wadau naombeni msaada wenu wa mawazo nimsaidieje huyu rafiki yangu ili aondokane na hii hali?
 
Du pole sana huo ni mtihani tena mkubwa huyo rafiki yako anatakiwa msaada wa kisaikolojia zaidi.usimuingilie yaani kukubali kuwa mpz wake kwani atazidi kupotea jaribu kuongea naye na. Upen d o na upole jinsi ya kuachana na hizo feeling kwa Mungu hakuna kinachoshindikana kama kweli ana nia ya kuacha aanze kusali na maonbi ikibidi amshirikishi mchungaji wake au shehe kama ni mwislam then jaribu kumtafutia mtaalamu wa saikolojia anaweza msaidia
 
Kwani we we ni dini gani? Kama ni muislam/mkristo hakuna dini inayoruhusu hayo kama hauna dini kama Mzee Mwilu,basi akili kichwani mwako.
 
Pole mkuu. nimegundua wengi wa hawa watu unakuta waliharibiwa wakiwa wadogo na sio kosa lao;unajikuta yuko hvyo na anahisi amezaliwa hivyo.

Naomba uongee nae,umwambie unampenda kama rafiki na kama kaka yako. mwambie kama wewe hauko huko na uelewi kitu gani bali anakubaliana na hali yake.

Ila mwambie kuwa,haya mambo sio ya kawaida anahitaji msaada na mweleweshe kuwa Mungu hapendi haya mambo pmaoja sio kosa lake.

Ongea nae na umpe sapoti ila usilale nae.its gross bro!!
 
.....mweeee!..sio tena chaguo ni lao maadam they are happy!ama hii justification ni kwa ule upande mwingine?
..ngachoka!!!

Hahahahaha, kwani hapa wameongelewa mashoga au mleta mada anaongelea juu ya kutamaniwa kimapenzi (jinsia moja) na bestfriend wake?

Maana yeye hataki na bestfrnd ndio kazimika, namshauri nini sasa.
 
....hataki wakati yeye ndo kakumbushia 'mzigo?!'..usikute hata kashamtawanya!
...ila naamini huwezi kosa cha kumshauri!..teh teh teh
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom