mlio wa ambulance
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 856
- 976
huyo ashagongwa nyuma siku mingi sana
Gogle ushauri gani huo?Ama kweli kwenye miti hakuna wajenzi!
Ama kweli kwenye miti hakuna wajenzi!
Kuna watu bila aibu watamshauri amfanyeMungu akuongoze na kukujaza hekima ni jambo zito sana!
Usimuingilie
we famicho nimekutext pm mbona haujanijibumlete na mwenzako tuwape ushauri kwa pamoja,... kama ye avae shela nawe uvae suti ama laa.
Bila shaka mtakuwa mnaishi Iringa au mnaasili ya Iringa
Sema na ww mkuu...mambo ya 5 yrs kakomaa nalo had uzeeni..atakuwa member tu..na jmaa nae anajiweka karb.Inamaana siku hizi kina mama wanakula nini wakati wa mimba zao mpaka kuzaa hawa gay men...kama kweli anasema aligeuzwa mara moja tu akiwa na miaka mitano mpaka leo anataka bado huko ni kujiendekeza looh
Habari zenu wakuu,
Mimi ni kijana mwanaume nina rafiki yangu (mwanaume) ambae tuna takribani miaka kumi kwenye urafiki tulikutana chuoni mimi nikiwa mwaka wa kwanza yeye wa tatu! Ni mtu mpenda ibada, kila j2 chachi hakosi, yuko smart, msomi, mchapa kazi!
Toka nimemfahamu hakuwa mtu wa wasichana kabisa mpaka pale nilipokuja kushtushwa kuwa eti kuna dada kampa mimba, na ili kutunza heshima yake akaamua kumuoa yule dada fasta, ndoa yake ilidumu kama miaka mitano then ikasambaratika wakati huo wameshazaa watoto wa kiume wawili! Jamaa akahama mkoani akahamia mkoa ninaokaa mimi hivyo tukaendelea kuwa pamoja kama marafiki!
Sasa kuna siku nakumbuka mwaka 2014 tulikuwa tumekaa sehemu moja ivi tulivu tunapata kinywaji huku tunapiga stori mbili tatu!Ndipo aliponidokeza kuwa anahisia za kishoga, nilistuka lakini nikajikaza nikajaribu kumuhoji kuwa zimeanza lini akanambia kuwa anaamini kuwa amezaliwa ivo!Pia nikamuulza kama ameshawahi kulawitiwa huko siku za nyuma akasema kuna mtu alishamuingilia kipindi ana miaka5 lakini akasisitiza kuwa yeye amezaliwa na hizo feelings!
Mwaka ukapita siku zikasogea, sasa jana tukawa tunachat nikamuulza kama bado ana zile hisia za kishoga akanambia bado anazo na anawish mimi niwe mpenzi wake nimkiss, nimu hug na mwisho nimfanye coz ananipenda toka kitambo ila alikuwa anaona aibu kunambia!Kiukweli nilistuka sana nikajiulza naanzaje kula tgo ya best frd wangu?
Pili nikawaza nimkimbie but he is my gud frend, je nikimkimbia nitakuwa namsaidia? Nami lengo langu nataka nimsaidie atoke katika hali hii! Amenambia kwa sasa haitaji mwanamke, yeye anaitaji kuwa na mimi tu coz ananiamini pia ananipenda na anatamani nimuoe!
Hivyo wadau naombeni msaada wenu wa mawazo nimsaidieje huyu rafiki yangu ili aondokane na hii hali?
Yaah huyu mtu ni afliti mkubwa yaani mwaka umepita mna chat unamuuliza eti bado unazo zile feelings za kupakuliwa?swali gani hilo?hapa umekuja kuusoma mchezo uone wadau watachangia vipi ila weye na huyo maluuni mwenzio mna laana.Kwanini mashoga huwa wanajisingizia wamezaliwa hivo, we mleta thread ushatamani kuwa mende hapa unakuja kucomfirm tu watu watasemaje, kilichofanya umuulize kama bado ana feelings hizo ni nini? Umesema mwenzio kaoa na ana watoto wewe je?
Mtajua wenyewe mashoga wachafu mxyuuuu