Jee hicho kitabu mtugaji amekiandika kufuatia mazingira ya watu gani ?kwani lazima ukumbuke kuwa kuna mambo ndani ya jamii yetu huwezi kumfanyia mwanamke au mume na ni mambo ya kawaida. Kuna rafiki mmoja aliniambia mkasa uliomfika kwa kumuomba aliyekuwa Mkewe ku(PERFORMING FELLATIO)MKE alimtukana na kumwita majina machofu yote mnayoyaelewa katika ulimwengu,sasa tukirudi swali la mulizaji kuhusiana na mumeme kutomtayarisha kuna maswali hapa ya kujiuliza jee yeye menyewe huwa anajitayarisha kiasi gani ?hapa naelezea matayarisho ya usafi na zile nguo za mvutio kwa mume silazima mtu avae zile chupi za ukamba, Kanga ni kivutio cha kutosha ukijuwa jinsi ya kuivaa ,leo kuna wanawake wangapi hawajawahi hata siku moja kunyonywa miguu yao pamoja na vidole vyake kwa sababu tu havitamaniki mguu umejaa keya halafu haupo msafi mtu anashindwa hata kutafuta kipande cha tofali akawa najisugulia pale anapo koga, sasa leo kweli hali kama hiyo mume atakuwa na hamu ya kumtayarisha mke kama huyo ?mume ataingia ajichovyee nakujiondokea zake.