Chonde chonde jamaniiii msifanye hivyoo!!!! coz she has got a serious problem
mie naona huyo mwanaume hajiamini inaweza kuwa alikuwa na matatizo ya kusimamisha hapo mwanzoni labda kunadawa anatumia sasa anaona kama akiacha na yenyewe italala forever, hey seriously huyo mwanaume needs a real counseling na kama tuwajuavyo wanaume wa kibongo na counseling wanahisi kama vile kujidhalilisha basi nadhani give yourself first priority mummy jijali wewe kwanza na afya yako, sema NO when you feel NO akikutishia kwenda nje mwambiee Go ahead coz huna uhakika kwamba haendi, but shost tukiangalia upande mwingine wa shilingi namaanisha wewe pia unahitaji kuwauliza wakubwa zako kwamba unayomfanyia huyo mumeo ndio yanatosha au kuna mengine huyajui inawezekana huyo bwana kwenye pitapita yake huko nyuma keshapewa mahallat, maanjuamat na mahabba ya nguvu mwaya sasa mummy weye ukimletea zile za kich.......a za kusoma magazeti au style ni moja tu au mbili hutaki kuexplore au mapenzi kitandani tu jikoni huyawezi au kila siku uanzwe wewe tuu kuombwa weeee humuoneshi kwamba unamtamaniii nayo shida shost wanaume huwa wanareact vitu ambavyo wewe unaweza kuona vidogo kwao ni vikubwa kama sisi tunavyopenda kudekezwa na kujaliwa na usipojaliwa na mwenzio unanuna na kuona hupendwi mummy mapenzi yanaenda both ways , SO JIANGALIE MWENYEWE KWANZA KISHA UMWANGALIE MWENZIO.....