Nimridhisheje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimridhisheje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Omugasi, Jun 20, 2009.

 1. O

  Omugasi Member

  #1
  Jun 20, 2009
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani labda mtanisaidia, nifanyeje nimridhishe huyu mwanaume??? sasa kwangu kawa kama guberi haridhiki na mambo ninayompa chumbani japo hajishughulishi hata kuniandaa. na mbaya zaidi mume wangu huyu hata kama nikiwa kwenye 'siku zangu' anataka kuingia, jambo ambalo kikwetu ni mwiko. ukimkatalia anakutishia kutoka nje ya ndoa. .. jamani hii mwenzenu mbona imekuwa taabu tupu.
   
 2. Mauza uza

  Mauza uza JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,982
  Likes Received: 681
  Trophy Points: 280
  mbadilishie mtandao tuu ataacha kukubeep, mtandao mzuri wenye network nzuri na inayoaminika na wengi mujini ni "Tigo".mpatie huo atapoa tu na hata ukiwa kwenye siku zako apana shaka mtandao wa tigo ndio wenyewe.Kitu kitamu unakula na mpenzio.
   
 3. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,729
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Mfundishe huyo mumeo namna ya kufanya mambo vizuri. Kina mama ni walimu wazuri sana wakiacha kuwa na aibu. Mwelimishe kwani si wanaume wote wanajua mwanamke anachotaka au anavypaswa kuwa treated katika mambo ya chumbani.

  Zaidi umvumilie. Wengine wana nguvu kama farasi. Vumilia. Ndiyo ndoa mama.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Jun 20, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,298
  Likes Received: 27,988
  Trophy Points: 280
  Umewahi kumnyonya koni?
   
 5. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,712
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  ...kina mama mpo? mkumbusheni za 'kicheni-pati' mwenzenu :(
   
 6. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,466
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 0
  Msimdanganye mwenzenu! Huyu mumeo kwani alikuwa vipi tabia zake? Ni kitu kaanza siku za karibuni au?

  Ndoa ni mzigo..inabidi uubebe hadi mwisho ....au kama mnaruhusiwa kuubwaga njiani kufuatana na imani yenu basi uamue mwenyewe

  Kitchen party - mimi sizifagilii sana..ila huwa naona kuna tatizo. Iweje mwanamke afundwe kwenye Kitchen party halafu anaenda kukutana na mwanamume ambaye hana hili wala lile.Hivi what is the equivalen of kitchen party for men?
   
 7. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,712
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  ...nadhani ndio kesi tunayoizungumzia hapa, huyo mw'mke kafundwa kafundishika kiasi kwamba jamaa haoni hasikii, kila akikumbukia anataka tena :(

  'Omugasi' apunguze vionjo mumewe kidogo kidogo ataanza kuboreka, au?
   
 8. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,417
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  ...stag night!!
   
 9. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,466
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 0
  humo wanafundishwa nini?
  Kitchen party ziko aina mbili...kuna zinazofundisha mwanamke kuwa reactionary..halafu zipo zinazofundisha mafundisho mazuri yenye kutilia mkazo mke mzuri anapaswa kuwa vipi na kutekeleza vp wajibu wake kama mke.
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 59,368
  Likes Received: 34,094
  Trophy Points: 280
  Hakuna kitu kama hicho jirani lakini kuna umuhimu wa kuwa nacho ili kuavoid mambo kama haya ya mwanaume kutaka kumuingilia mkewe wakati wa hedhi.
   
 11. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,466
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 0
  Jirani, hivi na batchelor's party inakuwaje?
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Jun 20, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,298
  Likes Received: 27,988
  Trophy Points: 280
  Strippers galore....
   
 13. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #13
  Jun 20, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,417
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  ...mwanamme anayefundishwa kwenye stag night atakuwa zebwe fulani hivi!!
  ...mara nyingi ni kwa ajili ya last minute private dance kutoka kwa hired stripper na mwendo wa booze kwa sana!
  ...nothing special (no teachings) apart from boisterous jabbers as a form of farewell to the one distancing himself from bachelorhood
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Jun 20, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 59,368
  Likes Received: 34,094
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha ha ha miye wala sitii neno :)
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Jun 20, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,298
  Likes Received: 27,988
  Trophy Points: 280
  ...kwa sababu unajua sidanganyi....Lol

  ...but hey it is what it is...
   
 16. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #16
  Jun 20, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,712
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  ...na kweli :D mwanaume unajifunzia 'mitaani' tu...mtajuana huko mbele kwa mbele!
   
 17. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #17
  Jun 20, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,466
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 0
  Sasa jamani... nyie wanaume how do u get ready for a new life as a married man hasa pale mkeo atakuwa kapikwa vilivyo? Je hamuoni kunakuwa na expectations pia kwa upande wa mke? Au wanaume wanafikiri hawana role?
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Jun 20, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,298
  Likes Received: 27,988
  Trophy Points: 280
  Wanaume tuko too consumed na male ego...it's sad but it is true.

  Just imagine eti Nyani Ngabu anapewa mafunzo ya ndoa...what the hell....
   
 19. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #19
  Jun 20, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 59,368
  Likes Received: 34,094
  Trophy Points: 280
  Naam huo ndiyo ukweli wa mambo, ukibahatika kupata walimu wazuri basi utafaidika vinginevyo utajiju!.....ha ha ha ha ha
   
 20. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #20
  Jun 20, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,417
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  ...if you haven't been ready but somehow, somewhat you end up getting married, you won't be doing anything good for yourself apart from maximising chances of a rough ride ahead of you!

  ... mwanamke kupikwa vilivyo kwenye kitchen party, au?!! ndivyo mnavyofanya hivi? siyo malezi tena? don't you see that is so temporal?

  ...WoS, Expectation is the mother of all disappointments!!
   
Loading...