nimeona juhudi za watu za ku to ngoza,
kila la kheri wakuu.
- Nashukuru ila nilianza mimi...TANMO..kaingilia kati....ameniboaje...
Mi thimo kwakweli
...Yalabi Tobaaa...PJ ya kweli hayooo
Mi nilimpenda kabla hata hajazaliwa, we umeanza tu kuongea hapa..
Kijana mjini hapa.. we achia ngazi. shauri yako
We nae usianze kuleta kauli za Wanasiasa hapa bana!...
Aisee, hii kali ya kufunga mwaka!....du!
Kongosho anashindwa hata kumtumia Mtu Chake Pipi-JOJO ili ifikishe ujumbe!
Basi ana domo zito kama langu!...heee!
Aisee broda,
Mi sijadai kamisheni bana, nimesema kama una fifty YA KARIBU fanza fanza. ..hiyo sio kamisheni bana, ni hela ya Azam-Cola tu!
hahahahahahaha..Dah..TANMO..unampiga Fix mtoto wa watu..ila umepost kitu kimenishtua?...au ndio mbinu zako hizo za kutaka mimi nijitoe katika hiki kinyang'anyiroo..cha kumpata Preta?
Kumbe Preta wa Arusha ni kidume
na mwandishi Maalum.
[/CENTER]
Mtu maarufu humu jamvini anayetambulika kwa Jina la Dada Preta amegundulika kuwa ni Kidume cha mbegu ambaye ana wake watatu pamoja na watoto 11. mtu huyo amegundulika kwa jina la Athumani kambambili mkaazi wa Yaeda chini Jijini Arusha. Kutokana na tatizo la ukata pamoja na majukumu ya kutunza familia, Bwana Athumani (au Da' Preta kama alivyozoeleka humu Jamvini) kwa kushirikiana na Swaiba wake wa Karibu jina tunalihifadhi (ambaye jamvini amezoeleka kwa jina la Pi Jei) walibuni mbinu ya kujipatia kipato kutoka kwa memba wakware ambao masaa yote wanawaza kuduu.
Habari kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika zinapasha kuwa Bwana Athumani amekubaliana na Rafikiye (Pii jei) kuwa awe anampigia chapuo kwa wale wote watakaoonekana kutaka kumpata "Da' Preta" na kwamba Pii Jei ndiye amepewa jukumu la kupokea huo mshiko kutoka kwa wakware pamoja na kuwaambia venyu ya kukutana na "Da' Preta". imebainika kuwa wana mtandao mkubwa kwani kuna dada ambaye ni Mhudumu wa Pub moja maarufu Jijini Arusha ambaye amepewa jukumu la kuongea na Mkware yeyote anayetaka kulonga na "Da' Preta".
Vyanzo vyetu vimezidi kupasha kuwa Bwana TANMO alipojaribu kurusha kete yake kwa gia ya kwamba yeye ni fukara lakini yuko tayari kumpenda "Da' Preta" mpaka kifo kiwatenganishe, alipingwa vikali na Bana Pi Jei ambaye alimtaka akauze shamba lake la urithi ndipo ataweza kusikilizwa ombi lake. bwana mtu Chake ambaye alijitanabaisha moja kwa moja kwamba ana pesa anasemekana kukubalika zaidi na Ndugu Pii Jei ambaye anajifanya kumpa maujanja zaidi namna ya kumnasa "Da' Preta" ili Mtu Chake aingie kingi na kutoa Mshiko wake. tutaendelea kufuatilia kwa ukaribu na tutawajilisha iwapo Mtu Chake ataingizwa mjini ama la.
Kama vipi nitakutumia Boksi zima la Azam Kola, hiyo si ndiyo unaitaka?
..Barua Tena...mkuu vipi hiyo barua ya nini tena?Halafu unajua nilikuwa nakutafuta sana unisaidie kumpalekea Preta Barua yake,
ngoja nikaazime pafyumu niipulizie ili nikupe..
..Barua Tena...mkuu vipi hiyo barua ya nini tena?
- Yaani PJ..unanitosa chalii yako..kisa Boksi la Azam cola...ila TANMO...hiyo unataka kumpa PJ sio rushwa kweli?
Ili ufaidi wewe wakati mgumu hata nyumba ya urithi hutaki kuuza?Mkuu nimekuhurumia nikaona labda nijaribu kukuokoa, ndo maana nakushauri uachane na huo mpango wako utafute mwingine..
Siwezi kuibiwa naonaWe unataka kujua ili iweje? Lol
Ili ufaidi wewe wakati mgumu hata nyumba ya urithi hutaki kuuza?
Siwezi kuibiwa naona
Ila nimegundua kuwa unajaribu kutumia watu ili upate msaaada..ulianza na PJ..ukaenda kwa Juliietth Ms...then mimi ukanisogezea Kongosho..hahahahaha...TANMO..nimekushtukia..yote hiyoo.niachie ngazi...nami siachii Ng'oo...Preta wangu..Njoo Mamaa unipe Raha....Acha na TANMO mganga Njaa
Preta popote ulipo umeona jinsi Jamaa anajipendelea mwenyewe?
Njoo kwangu tupeane raha, achana na mtu Chake....
:doh: :boink:Kwanza nikuulize wewe Meno yako ya mbele umeyachoka??:boxing:au huna kabisa ndo maana unakuwa mchokozi?????au unatamani kutembea na fimbo ya vipofu??wewe endelea nakuona unachezea kwenye 18 zangu!!:A S angry: Lawama sitaki nakuonaNimpende nani...Nimpende nani
wazuri JF ni wengi ila kupata wa ukweli ni balaa
wengi nia wajanja watoto wa mjini wamejaaa Tamaa
asiwe kama FF kila kitu kupinga,awe kama Preta..ili nipate raha
sio Mwali naogopa kila mtu atamkubali....
JF chit Chat....
:doh: :boink:Kwanza nikuulize wewe Meno yako ya mbele umeyachoka??:boxing:au huna kabisa ndo maana unakuwa mchokozi?????au unatamani kutembea na fimbo ya vipofu??wewe endelea nakuona unachezea kwenye 18 zangu!!Lawama sitaki nakuona
Nenda kwa fesibuku huko!!anamtu!
Mkuu nimekuhurumia nikaona labda nijaribu kukuokoa, ndo maana nakushauri uachane na huo mpango wako utafute mwingine..