Nimfanyeje huyu rafiki

Nimfanyeje huyu rafiki

Ungerekodi ingekuwa Mali sana..ukimwambia c kavu without evidence atakuona mchonganishi coz wamekuzidi kipochi...cha msingi zungusha ujumbe kama wazee wa kale akikumanya fresh akikupotezea fresh mikono yako haiko na hatia sbb picha likiwa wazi cha kujitetea unacho mzee-baba
 
Kutongozeana wake ni tabia iliyojichimbia mizizi.. Cha msingi mm huwa sipendi na huwa siruhusu hayo mazoea ya kijinga..
 
True bro nataka kufanya hvyo ila sina uhakika kama mke wake kamwambia maana Hawa viumbe acha tu hata kama cku hiyo alikuwa mkali cjui kilichoendelea kuko mbelen na sina evidence ya tukio hilo
Kama C kweli ni rafiki ako, huwezi acha aibiwe akati dalili ulishaziona mapema. Wewe mwambie, na hata kama mkewe alikua bado hajamwambia hiyo is up to yeye, wewe utakua umeshanawa mikono.

Hapo utakua umesaidia kuiokoa ndoa ya rafiki yako.

#TendaWemaNendaZako#
 
Back
Top Bottom