Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,168
HahahhahahHunishindi, nitafute tuyajenge binamu
Sawa binamu yangu
HahahhahahHunishindi, nitafute tuyajenge binamu
Mwambie tu, mueleweshe kuwa Kama mkewe hajamwambia basi labda anaogopa kuwa sababu ya kuvunjika Urafiki wao.True bro nataka kufanya hvyo ila sina uhakika kama mke wake kamwambia maana Hawa viumbe acha tu hata kama cku hiyo alikuwa mkali cjui kilichoendelea kuko mbelen na sina evidence ya tukio hilo
Kwel kabsiA ongea na mke wa C, mwambie ulisikia kila kitu siku ile. Ili kwa pamoja kama mnaamua kumwambia C mwambieni ajue, ila ukiamua kumwambia C mke wake anaweza akakataa na wewe A ukaonekana mbaya
Ndo marafiki wa mjini ndugu ila kwa kuwa huyu nshamjua ni kumpotezeaHuyo B ni mnafiki sana, kati ya kitu kinachohitaji unafiki wa grade1 ni kutoka na mke wa rafiki yko, huyo anaroho moja mbaya sana kati ya roho za dunian, mtu kama huyo anaweza ata kuua uku anakuchekea
Ningeona kawaida kama angekuwa anamtongoza wife wake af akampotezea jamaa kwa maana ya kujisuta
Wanawake wazuri sana wamejaa ila anamfata shem wake
Una haki ya kufanya hvyo mkuu, mnafiki dawa yke ni kumuumbua
Huyu boya kumwambia lazma na kwanza nataka nikate mazoea nae kabisaaa maana Leo kwa C kesho kwangu.Mfate B mkiwa wawili tu mwambie ile siku ulimsikia kila kitu alichokuwa anaongea namke wa C naumueleze kuwa haipendezi kama marafiki kufanyiana hivyo navilevile mueleze hatari iliyopo mbele yake
Brother kama umenielewa itakuwa poa ila omba yasikukute hasa kwa rafiki anae mwamini kama nduguHii story ina ABC imekosa thamani ya X tu kukamilika kuwa topic mpya ya hesabu form two
Hahaha kweli we rafiki wakweli umewaza mbali sanaaaHuyu boya kumwambia lazma na kwanza nataka nikate mazoea nae kabisaaa maana Leo kwa C kesho kwangu.
Issue nahisi sio kuoa maana kama ni mademu tunao .ili urafiki wenu udumu inabidi kila mmoja aoe,lasivyo mtazungukana tu
Ujajiuliza kwa nini B amtongoze mke wa C,wakati yeye ana demu?Issue nahisi sio kuoa maana kama ni mademu tunao .
Akili ndogo na ujanja wa kiboyaUjajiuliza kwa nini B amtongoze mke wa C,wakati yeye ana demu?
Nina swali mkuu,kila nikitongozwa natakiwa kumjulisha mume wangu?Hii issue kama hakuna vithibitisho inaweza ikamwaribia urafiki huyu mleta mada.Mke wa C na B wanaweza wakamruka akaonekana mwongo na mwenye nia ya kuwagombanisha.
Na kama mke wa C hajasema basi kuna walakini kwenye hiyo ndoa na A unapaswa kuwa makini.
ABC=CBA?
Shangazi kumbe na wewe ni mtundu eeeehhh?DEFG