Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,786
- 45,268
Hapana ila kwa mtu wa karibu nadhani huna budi.Nina swali mkuu,kila nikitongozwa natakiwa kumjulisha mume wangu?
Akijua kabla hujamwambia inaweza kuleta kutokuaminiana.
Hapana ila kwa mtu wa karibu nadhani huna budi.Nina swali mkuu,kila nikitongozwa natakiwa kumjulisha mume wangu?
hahahaaa, Hivi Nokia huwa una akili gani jmaan!!
Dah thanks hii ni best idea, natumia hii maana uhakikika ninao akikataa atajijuaaaaKumwambia C ni muhimu, japo yakupasa utumie akili. Waweza igiza, sema umewasikia watu wakimzungumzia B kuwa anammendea mkewe. Mengine utaongezea
Zipo za kusema especially kama jamaa hataki kuelewa kama we mke wa mtuNina swali mkuu,kila nikitongozwa natakiwa kumjulisha mume wangu?
hahahaaa, Hivi Nokia huwa una akili gani jmaan!!
Hakuna kitu kinavunja urafiki kama mkopoHakuna kitu kinaleta vita Duniani zaidi ya Mapenzi na Mali.
LOL..Shangazi kumbe na wewe ni mtundu eeeehhh?
Nakazia hapa.The truth will set you free,na huo ukweli utakutesa hadi uweke wazi,heri mchawi kuliko mnafiki
ABC=CBA?
[emoji28][emoji28][emoji28]Unaharibu Uzi Muone.... Unamshauri nini B?
[emoji28][emoji28][emoji28]Unaharibu Uzi Muone.... Unamshauri nini B?