Nimfanyeje huyu rafiki

Nimfanyeje huyu rafiki

True bro nataka kufanya hvyo ila sina uhakika kama mke wake kamwambia maana Hawa viumbe acha tu hata kama cku hiyo alikuwa mkali cjui kilichoendelea kuko mbelen na sina evidence ya tukio hilo
Au muulize shemeji ilikuwaje ile siku je ulimwambia Mr
 
Mkuu Hiyo ishu usifiche fiche.. Mchane muhuni
 
C na A wanakaa Geti moja. A hakuwepo. Si ndiyo B akamvamia Mke wa A akataka kumkula. C akamshitukia. Hapo umeelewa.... Tusichoshane.

Kwahiyo alikuwa anataka tumaaidie mawazo gani?..naww kidogo tu unachoka
 
Huna haja ya kufanya lolote angalia maisha yako...wangekuw wanacheat sawa
 
Back
Top Bottom