MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,650
- 41,779
Hahaha..Mkuu Hapo Umenena, kuna Kabinti Kake Nakatamani!......Tatizo Nina Mchumba Naishi Nae
acha uongo dogo
Hahaha..Mkuu Hapo Umenena, kuna Kabinti Kake Nakatamani!......Tatizo Nina Mchumba Naishi Nae
Ni Miez Mitatu Sasa Toka Nihamie, Lakin Kuna Jambo Moja Nimeligundua, Milango Yote Ina Kitobo Kidogo Kinachohitaji Umakini Kukigundua.
Cha Ajabu Nilipojaribu Kumtaarifu Baba Mwenye Nyumba Wangu Kukiziba...Alikuja Juu Na Kusema ,Niiache Nyumba Yake Kama Ilivyo. Nikaona Ngoja Niwadodose Wapangaji Wenzangu.
Walinishangaza Waliponiambia Hilo Tundu Ni Kazi Maalum Kwa Baba Huyu. Nimegundua Analitumia Kutupiga Chabo Na Ndio Maana Anataka Vijana Waliooa Ndio Wapange Hii Nyumba!
Hasara ya nini? Anunue big G aitafune ikiisha radha lile pira abandike kwenye hicho kitobo. Kwisha!Hilo tundu lina kipenyo cha ukubwa gani mpaka uombe baba mwenye nyumba akzibie? Huo si ni uzembe wako mwenyewe....
Nunua Seal Tape (solotepu)na ubandike kwa karatasi ngumu kwa ndani umalize tatizo...
Au atafute pili pili kichaa kavu aisage kisha aweke unga hapo ndani ya kitobo kisha zee likija tu kuchungulia apulize iingie machoniTafuta u.p.u.p.u tumbukiza kiasi kkidogo kwenye hako katobo, kisha act uko ktk mahaba wakati uko pale mlangoni kuwa makini ili uwe na uhakika kuwa jicho lake liko on target, akiwa on ttarget puliza u.p.u.p.u. Kitakachotokea atashindwa hata kumwambia mkewe.
Ata pazia hakuna kwa ndani?
pazia nalo lina tobo...!
Hilo tundu lina kipenyo cha ukubwa gani mpaka uombe baba mwenye nyumba akzibie? Huo si ni uzembe wako mwenyewe....
Nunua Seal Tape (solotepu)na ubandike kwa karatasi ngumu kwa ndani umalize tatizo...
Mchukulie binti yake akichungulia akakutana na utupu wa mwanae hatakaa arudie
Ivi bado watu naomna hii bado wapo wanao piga chabo? yani sielewi wanapata raha gani kwakuchungulia wenzao sasa kama usiku na giza inakuwaje?
Maoni ni mengi ulopewa sasa amua mwenyewe la kufanya. Ila ka ni miye, ningemwacha azoee halafu ukifikia karibu na mshindo chomoa kimbilia langoni penye hilo tobo, achia haraka itamsafisha jicho lione vizuri. Hiyo ndo dawa ya kuzibia macho ya mpiga chabo.
Amesema Nisizibe Kwani Ni Mfumo Wa Nyumba Yake Ili Hewa Ipite