Nimfanyeje huyu baba mwenye nyumba mpiga chabo?

Nimfanyeje huyu baba mwenye nyumba mpiga chabo?

Hisia za nyento huwa haziishi,
wewe jiandae na baadae usiku mimi naja kama kawaida yangu kufanya yangu kisha nasepa mwepesiiiiii...... chezea movie original wewe.

Wewe Ndio Baba Mwenye Nyumba?
Wadau Wamenipa Mbinu Za Kudil Na Ww
 
Wewe Ndio Baba Mwenye Nyumba?
Wadau Wamenipa Mbinu Za Kudil Na Ww

Ahaaaa...we zichukue tu hizo mbinu ulizopewa, kisha tutakutana baada ya saa chache kwenye kale katobo ketu, kisha ndo tutajua nani ana mbinu bora.
 
Tangu uhamie hapo miezi mitatu iliyopita ni mara ngapi amekuja chumbani kwako kukagua ili kuhakikisha "kila kitu" ndani ya chumba chako kipo kama atakavyo ndani ya nyumba yake!? Ziba kwa ndani bhanaa vinginevyo hama.

Mkuu Niligundua Baada Ya Kuziba Alikuja Juu Na Kusema Niiache Nyumba Yake Ipitishe Hewa
 
Wewe uliye waza hivyo ndo mwenye mawazo machafu,
wajua tafasiri ya jambo inategemeana na wewe mwenyewe unavyotafasiri kwa kichwa yako
na ndo maaana hata mchina kula kobe, nyoka, kono kono, bundi,mbwa, minyoo, etc yeye anaona sawa tu tena kiroho safi ila kibongo bongo ni noma sana na uchafu.
Ila ukitafakari sana juu ya mambo haya , utagundua kuwa yanasababishwa na namna tunavyo yatafasiritu na si kinginecho mkuu Majigo

Wew Unanishauri Mambo Ya Papuchi Wakati Mi Nna Dushe?!
 
Last edited by a moderator:
We mpangaji wangu umeamua kuja kunianika huku?utahama nakwambia
 
Hama kama hutaki kupigwa chabo na mwenye nyumba hataki kuziba tundu la mlango.
 
daah aisee nyumba za kupanga ni shida,,,,mi mwenyewe nilipangaga chumba cha uani hapo keko nikawa nakula mtoto wa duce,,basii daah nikianza kumla tuu utaona mwenye nyumba anatoka nje anakuja huku uani kufanya usafii...basi nikaona isiwe tabu cku ya cku nikaacha mlango wazi nikawa namshughulikia mtoto wa chuo ikabd mwenye nyumba aone aibu asepe zake
 
Daa una roho ngumu, tendo la aibu hilo ! Unalifanya live! !!
 
wote mnapenda huo mchezo kuchungulia na kuchunguliwa saaaafi saaaana
 
Back
Top Bottom