Nimfanyeje huyu baba mwenye nyumba mpiga chabo?

Nimfanyeje huyu baba mwenye nyumba mpiga chabo?

Hilo tundu lina kipenyo cha ukubwa gani mpaka uombe baba mwenye nyumba akzibie? Huo si ni uzembe wako mwenyewe....

Nunua Seal Tape (solotepu)na ubandike kwa karatasi ngumu kwa ndani umalize tatizo...
Leo umenifundisha 'soletepu' inavyoandikwa [emoji23]
 
Leo umenifundisha 'soletepu' inavyoandikwa [emoji23]

Mazoea mkuu.....
Wengi huita hivyo kwa kuwa tumekuwa tukisikia hivyo.
Ukienda dukani ukamwambia unataka seal tape muuzaji atakwambia Hana hiyo bidhaa.
 
Seal tape ni ile ya plumbing. Cellotape ndio gundi ya karatasi

Zote Ni seal tape inayotumika kwenye plumbing na drainage / pipework huitwa
Thread seal tape (hujulikana pia kama PTFE tape au plumber's tape) ni polytetrafluoroethylene (PTFE) Teflon tape
Asante kwa kunikumbusha Dissertation yangu ya Degree yangu ya kwanza.
 
Kwani akichungulia anapata nini? Hawezi kuiondoa , mwache ajionee, sana sana ataumia mwenyewe!
Bahati nzuri viungo vya banadamu vinafanana all over the world hana cha kufaidi.
Ukijua anapiga chabo mgeuzie huku na kule akome!
 
Back
Top Bottom