Alichonifanyia huyu mtoto wa mama mwenye nyumba nimfanyeje?

Decoration

Member
Oct 27, 2018
63
89
Hapa upangajini tupo wapangaji takribani 8 na tunaishi na baba na mama mwenye nyumba

Baba na mama mwenye nyumba maisha yao yote wamebahatika mtoto mmoja tu na ndo huyo yupo na age kama 25 hivi jamaa kasoma hadi fom 6 utundu shule na tabia mbovu zikamfukuzisha shule yupo tu mtaan ni muhuni na hata bangi anavuta ana makundi mabovu

Huyu bwana mdogo ana tabia za ajabu ajabu na anayemuweka kichwa ni mama yake anamtetea sana

Huyu bwana mdogo ana tabia ya kuvaa viatu au ndala za wapangaji ukiacha mlangoni

Nilivyohamia hapa alianza hayo mambo akawa anachukua ndala zangu anaenda kuzurura nazo usiku anazirudisha mlangoni zikiwa chafu na mm sina ukaribu naye hii tabia ikawa inanikasirisha sana

Nilivumilia tabia yake ya kuchukua ndala zangu mlangoni nikaona sio poa siku moja akachukua tena mama yake akaniona peku nje nikitafuta ndala nikaoge akaniuliza kulikoni nikamueleza hali halisi akamwiita kijana wake akamkanya aache hiyo tabia

Sasa hii tabia akaendelea nayo akawa anafanya hivyo kwa wapangaji wote atakuja atatukana wapangaji na kuwakashifu kuwa hawana kwao na matusi na kejeli watu wote wakawa hawaongei naye

Hii tabia ameendelea nayo sasa juzi kaja kachukua ndala zangu kazivaa halafu yeye akaniwekea nyingine zilizokatika

Nikaenda hadi mlangoni kwake nikakuta kazivua zangu nikazivaa zangu nikamwachia zake mbovu akatoka nje akaanza kunikashifu kwamba ni kwanini nisivae hizo mbovu?nikamjibu nitavaaje ndala mbovu wakat zangu mpya kazivaa yeye?akaanza matusi nikamwambia matusi ya nini akanunue zake

Akaanza kunitukana matusi ya nguoni had ananitus na mama yangu mzaz mama ake bahat nzuri alikuwepo akatoka nje akamuonya aache matusi

Ikapita dakika tu nikarejea ndani akanifata na panga butu akasukuma mlango akaanza kunifanyia fujo mama yake akapiga mayowe ili watu wamdhibiti mwanaye

Wakaja watu wakamkamata bado akazidi kuniporomeshea matusi

Hakuna kitu mama yake anafanya zaidi ya kumtetea tu huyo mwanae hata kumkanya anamkanya juu juu tu wapangaji wote hapa tumechoka huu upuuzi mwanae ana tabia za kutukana hata wapangaji

Nimewaza nimfanyie nini huyu kijana maana uwezo ninao natamani hata kumuua maana tokajuzi nina hasira sana alivyonitusi matusi ya nguoni ananitukana na mama yangu na baba yangu alinitukana vitu vinatisha sana nina hasira naye sana huwa siwezi kabisa kuwa sawa hadi nilipe kisasi ndivyo nilivyo anastahili mateso na malipo mabaya sana.
 
Hapa upangajini tupo wapangaji takribani 8 na tunaishi na baba na mama mwenye nyumba

Baba na mama mwenye nyumba maisha yao yote wamebahatika mtoto mmoja tu na ndio huyo yupo na age kama 25 hivi jamaa kasoma hadi fom 6 utundu shule na tabia mbovu zikamfukuzisha shule yupo tu mtaan ni muhuni na hata bangi anavuta ana makundi mabovu.

Huyu bwana mdogo ana tabia za ajabu ajabu na anayemuweka kichwa ni mama yake anamtetea sana.

Huyu bwana mdogo ana tabia ya kuvaa viatu au ndala za wapangaji ukiacha mlangoni.

Nilivyohamia hapa alianza hayo mambo akawa anachukua ndala zangu anaenda kuzurura nazo usiku anazirudisha mlangoni zikiwa chafu na mimi sina ukaribu naye hii tabia ikawa inanikasirisha sana.

Nilivumilia tabia yake ya kuchukua ndala zangu mlangoni nikaona sio poa siku moja akachukua tena mama yake akaniona peku nje nikitafuta ndala nikaoge akaniuliza kulikoni nikamueleza hali halisi akamwiita kijana wake akamkanya aache hiyo tabia.
Dawa ni kuzitupa izo ndala, wote mkosee..!
 
Ukienda kazini unaenda umevaa ndala? Fanya hivi chukua ndala tofauti kama blue na nyekundu. Mfano mzuri tembelea geust bubu za Buguruni Malapa hakuna ndala zinazofanana
 
Hapa upangajini tupo wapangaji takribani 8 na tunaishi na baba na mama mwenye nyumba

Baba na mama mwenye nyumba maisha yao yote wamebahatika mtoto mmoja tu na ndio huyo yupo na age kama 25 hivi jamaa kasoma hadi fom 6 utundu shule na tabia mbovu zikamfukuzisha shule yupo tu mtaan ni muhuni na hata bangi anavuta ana makundi mabovu.

Huyu bwana mdogo ana tabia za ajabu ajabu na anayemuweka kichwa ni mama yake anamtetea sana.

Huyu bwana mdogo ana tabia ya kuvaa viatu au ndala za wapangaji ukiacha mlangoni.

Nilivyohamia hapa alianza hayo mambo akawa anachukua ndala zangu anaenda kuzurura nazo usiku anazirudisha mlangoni zikiwa chafu na mimi sina ukaribu naye hii tabia ikawa inanikasirisha sana.

Nilivumilia tabia yake ya kuchukua ndala zangu mlangoni nikaona sio poa siku moja akachukua tena mama yake akaniona peku nje nikitafuta ndala nikaoge akaniuliza kulikoni nikamueleza hali halisi akamwiita kijana wake akamkanya aache hiyo tabia.
Ina part 2 kama bongo movie au
 
Nilivumilia tabia yake ya kuchukua ndala zangu mlangoni nikaona sio poa siku moja akachukua tena mama yake akaniona peku nje nikitafuta ndala nikaoge akaniuliza kulikoni nikamueleza hali halisi akamwiita kijana wake akamkanya aache hiyo tabia

Sasa hii tabia akaendelea nayo akawa anafanya hivyo kwa wapangaji wote atakuja atatukana wapangaji na kuwakashifu kuwa hawana kwao na matusi na kejeli watu wote wakawa hawaongei naye

Hii tabia ameendelea nayo sasa juzi kaja kachukua ndala zangu kazivaa halafu yeye akaniwekea nyingine zilizokatika

Nikaenda hadi mlangoni kwake nikakuta kazivua zangu nikazivaa zangu nikamwachia zake mbovu akatoka nje akaanza kunikashifu kwamba ni kwanini nisivae hizo mbovu?nikamjibu nitavaaje ndala mbovu wakat zangu mpya kazivaa yeye?akaanza matusi nikamwambia matusi ya nini akanunue zake

Akaanza kunitukana matusi ya nguoni had ananitus na mama yangu mzaz mama ake bahat nzuri alikuwepo akatoka nje akamuonya aache matusi

Ikapita dakika tu nikarejea ndani akanifata na panga butu akasukuma mlango akaanza kunifanyia fujo mama yake akapiga mayowe ili watu wamdhibiti mwanaye

Wakaja watu wakamkamata bado akazidi kuniporomeshea matusi

Hakuna kitu mama yake anafanya zaidi ya kumtetea tu huyo mwanae hata kumkanya anamkanya juu juu tu wapangaji wote hapa tumechoka huu upuuzi mwanae ana tabia za kutukana hata wapangaji

Nimewaza nimfanyie nini huyu kijana maana uwezo ninao natamani hata kumuua maana tokajuzi nina hasira sana
 
Asante kwa ushauri
Umpeleke kwenye Vyombo vya sheria hiyo ndio dawa. Mashahidi ni wapangaji na majirani. Atafungwa ili hao wazazi wajionee mayunda ya malezi yao.
La pili lazima utambue Nyumba za kupanga zote zina karaha,kama unapata fedha usiione ndogo anza harakati za ujenzi
 
Back
Top Bottom