Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,832
- Thread starter
- #41
Tafuta u.p.u.p.u tumbukiza kiasi kkidogo kwenye hako katobo, kisha act uko ktk mahaba wakati uko pale mlangoni kuwa makini ili uwe na uhakika kuwa jicho lake liko on target, akiwa on ttarget puliza u.p.u.p.u. Kitakachotokea atashindwa hata kumwambia mkewe.
hahahah Mbavu Zangu Mimi
Hii Ambush Iko Veri Kriativ
Huyu Amekosea Sana Kucheza Na Kijana Wa Jf
Atajuta Leo
Mashambuliz Ni Ya Kimya Kimya