Nimfanye nini huyu mwanamke?

Nimfanye nini huyu mwanamke?

Uzuri wake ni msafi yaani nguo ndani hazilundikwi nikivua tu imeng'a@

Pia mcheshi hata nimuuz vp ukija ww mgen utakula utavimbiwa na huto jua kama kimewaka

Pia kaz anapiga ukimpeleka shamb heka siku tatu

Kitandani sijawahi juta na sijawahi pata kwingn kama hapa ndan
Ana takko?😛
 
Na akiona huna pesa hujinunisha hata wikii nzima na unyumba ulambi najua baadhi ya wadau mtasema tafuta pesa
Mda mwingne mtu kinyimwa kile anachokipenda kisa kumekosekana kitu flan kuna muamasisha zaid kwenda kutafta hicho kilichokosekana ili aje apate kile alichinyimwa.
NB: ila isiwe kila siku unanyimwa.

Kasoro ya huyu mwanamke kwanza sio mkweli anaweza kukudanganya hata kwa jambo
Ambalo unaliona hili halipo hivi
Sasa sijajua huwa anamaanisha nini?
Licha ya kumuonya mara kadhaa ila hurudia hivyohvy
Kwa kuliona hilo nikajipigapiga nikamfungulia shop ya nguo ilikuwa vizuri ila mwishon akafanya anachojua yy akajifilisi maana mwenendo aliokuwa nao ilikuwa lazima ajifilisi
Na ilikuwa ukimuonya anasema mnatunyanyasa wanawake Na atanilipa hela yangu mimi huwa sina maneno hua namwangalia tu sasa wakuu
Hapa achana nae tena kimbia. Kama anauongo mwingi na hajui kukubari kosa bas huyo mwanamke ana kiburi na kujiona na hana akili.
 
Uzuri wake ni msafi yaani nguo ndani hazilundikwi nikivua tu imeng'a@

Pia mcheshi hata nimuuz vp ukija ww mgen utakula utavimbiwa na huto jua kama kimewaka

Pia kaz anapiga ukimpeleka shamb heka siku tatu

Kitandani sijawahi juta na sijawahi pata kwingn kama hapa ndan
Komaa mkuu pia tafuta pesa
 
Kwa akili zako unaisi ukimuowa ata badilika brooo kuna vingi vya kutupa furaha sasa jichanganye ufunge Pingu naye
 
Kinasogea tuishi wanakaz.Yaan hapo ushamshiba tayari unataka ukache
 
Mkuu umetupa weakness zake tu tunaomba utuambie na mazuri yake ili tupime kwenye mzani tuone kilichozidi na tutoe ushauri sasa.
Mtu hapimwi Kwa mazuri ukitaka kumuweka karibu yako unapima Yale mabaya unayosikia na kuona pengine kwamba uyu dada ni Malaya Ila anajua snaa kupika au uyu dada ni mzurii Ila kwao ni wachawi tunaangalia madhaifu yako ili tuyapime je naweza kuyamudu kuvumilia na kurekebishana pale inapobidi
 
Mkuuuu usipende kuchekacheka kuwa Gentlemen na kuwa na huruma kwa mke wako mreteee vizawadi toa matumizi mpe biashara yakufanya na uwe unamuelekeza mara kwa mara,cha kufanya ili iboreke huto nyimwa amua kiume ndani usimfanye yeye ndo awe muamuz mambo yenu
 
Uzuri wake ni msafi yaani nguo ndani hazilundikwi nikivua tu imeng'a@

Pia mcheshi hata nimuuz vp ukija ww mgen utakula utavimbiwa na huto jua kama kimewaka

Pia kaz anapiga ukimpeleka shamb heka siku tatu

Kitandani sijawahi juta na sijawahi pata kwingn kama hapa ndan
Mkuu nadhani mazuri ni mengi kuliko mabaya, labda mengine anafanya kwa Sababu hajawa na uhakika 100%. Wewe fumba machoo andaa mahali mwambie sasa mama nataka kwenda kutimiza ahadi na tufunge pingu za maisha. From now sipendi A,B C... Maana hii safari tukikwamishana tutaumia wote. Then chukua wazee waende, omba na tarehe ya harusi. Nina imani badhi ya mambo atabadilika kama siyo kuisha atapungua. Hakuna mkamilifu mkuu
 
Najua wote humu hamjambo maana huwezi ingia humu huku unaumwa

Twende kwenye mada

Wakuu nimepata mke ambaye natarajia kumuweka ndani ila sasa
Kabla ya kufika huko kwenye kuwekana ndani

Nilimpima kwanza je atafaa kweli kifupi huyu binti nipo naye kwenye uchumba karibia miaka 2 navyosema uchumba yaan yupo gheto siwez ita mke mana hutajafunga ndoa

Kasoro ya huyu mwanamke kwanza sio mkweli anaweza kukudanganya hata kwa jambo
Ambalo unaliona hili halipo hivi
Sasa sijajua huwa anamaanisha nini?
Licha ya kumuonya mara kadhaa ila hurudia hivyohvy

Na akiona huna pesa hujinunisha hata wikii nzima na unyumba ulambi najua baadhi ya wadau mtasema tafuta pesa

Ipo hivi pesa hata uitafute vp ila kuna muda mambo hubuma maana kuna kuumwa nk...

Kwa kuliona hilo nikajipigapiga nikamfungulia shop ya nguo ilikuwa vizuri ila mwishon akafanya anachojua yy akajifilisi maana mwenendo aliokuwa nao ilikuwa lazima ajifilisi
Na ilikuwa ukimuonya anasema mnatunyanyasa wanawake Na atanilipa hela yangu mimi huwa sina maneno hua namwangalia tu sasa wakuu

Je kwa tabia hizi je niingie mazima au nifanyeje

Kuna wadau baadhi utawasikia umeshindwa kuamua hadi kwenye hili?

Nasema hivi ndio nimeshindwa naombeni ushauri wenu
Sasa unakuja kuomba ushauri na unakuwa mkali tena? Sasa ni hiviii, huyo mwanamke wako hana tofauti na huyu wakwangu hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri wake ni msafi yaani nguo ndani hazilundikwi nikivua tu imeng'a@

Pia mcheshi hata nimuuz vp ukija ww mgen utakula utavimbiwa na huto jua kama kimewaka

Pia kaz anapiga ukimpeleka shamb heka siku tatu

Kitandani sijawahi juta na sijawahi pata kwingn kama hapa ndan
Owa fasta ama ukishindwa uje tubadilishane wanawake ndani ya siku tatu tuu usipojinyonga ama kuikimbia nyumba nakupa 1000,000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
to make story short utakuja kupigwa na kitu kizito medula ikae vizuri.
 
Fedha ni tiba ya kila changamoto sio?
Screenshot_20210717-214714_1.jpg

Amen....
 
Lipa mahari ya watu haraka miaka miwili yote huyo tayari mke
 
Najua wote humu hamjambo maana huwezi ingia humu huku unaumwa

Twende kwenye mada

Wakuu nimepata mke ambaye natarajia kumuweka ndani ila sasa
Kabla ya kufika huko kwenye kuwekana ndani

Nilimpima kwanza je atafaa kweli kifupi huyu binti nipo naye kwenye uchumba karibia miaka 2 navyosema uchumba yaan yupo gheto siwez ita mke mana hutajafunga ndoa

Kasoro ya huyu mwanamke kwanza sio mkweli anaweza kukudanganya hata kwa jambo
Ambalo unaliona hili halipo hivi
Sasa sijajua huwa anamaanisha nini?
Licha ya kumuonya mara kadhaa ila hurudia hivyohvy

Na akiona huna pesa hujinunisha hata wikii nzima na unyumba ulambi najua baadhi ya wadau mtasema tafuta pesa

Ipo hivi pesa hata uitafute vp ila kuna muda mambo hubuma maana kuna kuumwa nk...

Kwa kuliona hilo nikajipigapiga nikamfungulia shop ya nguo ilikuwa vizuri ila mwishon akafanya anachojua yy akajifilisi maana mwenendo aliokuwa nao ilikuwa lazima ajifilisi
Na ilikuwa ukimuonya anasema mnatunyanyasa wanawake Na atanilipa hela yangu mimi huwa sina maneno hua namwangalia tu sasa wakuu

Je kwa tabia hizi je niingie mazima au nifanyeje

Kuna wadau baadhi utawasikia umeshindwa kuamua hadi kwenye hili?

Nasema hivi ndio nimeshindwa naombeni ushauri wenu
Mwanangu hakufai huyo ukibeba utajua mwenyewe maana kesha kuonyesha rangi yake.

Anakulipa kutoka wapi uliuliza?
 
Back
Top Bottom